Walioshukiwa kumuua kondakta kwa kuongeza nauli waponea

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA wawili wa chama cha matatu  cha Mwiki  waliofikishwa kortini kwa mauaji ya kondakta aliyeongeza nauli kwa...