NCPB yakana inauza mbolea duni

Na RICHARD MUNGUTI USAMBAZAJI wa mbolea ya bei ya chini kwa wakulima eneo la Rift Valley umekumbwa na changa moto huku wafanya biashara...

NCPB yaahidi kuboresha huduma kwa wakulima wa mahindi

NA RICHARD MAOSI Ni habari njema kwa wakulima wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa baada ya Bodi ya Kitaifa ya Mazao na Nafaka...

Wakulima wataka NCPB ipewe fedha

STANLEY KIMUGE na WYCLIFF KIPSANG WAKULIMA wa mahindi eneo la Bonde la Ufa wametoa wito kwa serikali kuharakisha kutoa pesa kwa Bodi ya...

Serikali yatoa magunia 600,000 kupunguza bei ya unga

Na BERNARDINE MUTANU Hifadhi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) imetoa magunia 600,000 ya mahindi kwa wasagaji wa unga baada ya...

Wakulima walia kuhangaishwa kupata mbegu na mbolea

RICHARD MAOSI NA KEVIN ROTICH WAKULIMA kutoka Kaunti za Nakuru na Kericho wameomba serikali iwapunguzie gharama ya mbolea na mbegu...

NCPB yatumia Sh6.8 bilioni kununua mahindi

NA BARNABAS BII BODI ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB)  imetumia Sh6.8 bilioni kununua magunia 270,000 ya mahindi huku wakulima...

Wabunge waitaka NCPB iwaondolee wakulima masharti

Na CHARLES WASONGA WABUNGE sita kutoka eneo la North Rift jana walitaka Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) kuondoa masharti...

NCPB yapuuza agizo la Uhuru kuhusu mahindi

Na BARNABAS BII BODI ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB) imechelewa kuanza kununua mahindi kutoka kwa wakulima kama alivyoagiza Rais...

Rais achemkia NCPB kwa kukosa kulipa wakulima

Na PETER MBURU RAIS Uhuru Kenyatta ameonyesha kuguswa na kero la maelfu ya wakulima wa mahindi ambao wamecheleweshewa malipo ya mazao...

Wabunge wapinga wakulima kupigwa msasa kabla ya kulipwa

Na CHARLES WASONGA WABUNGE watatu kutoka eneo la North Rift wamepinga agizo la serikali kwamba wakulima waliwasilisha mahindi kwa mabohari...

Masharti makali kwa wakulima watakaolipwa na NCPB

Na BERNARDINE MUTANU Serikali imeweka masharti makali kuhusiana na wakulima watakaolipwa mahindi waliyowasilisha kwa depo ya kitaifa ya...

Hatimaye wakulima kulipwa Sh1.4 bilioni za mahindi

Na PETER MBURU SERIKALI imetangaza kuwa itaanza kuwalipa wakulima deni la Sh3.5 bilioni, ikijitetea kuwa kuchelewesha malipo kulitokana na...