Canada yazima ndege za Urusi katika anga yake

Na AFP OTTAWA, Canada CANADA imezuia ndege zote za Urusi kutumia anga yake kama hatua ya kuonyesha kukerwa na hatua ya nchi hiyo...

Marufuku ndege za Afrika Ulaya

Na AFP SERIKALI za mataifa ya bara Ulaya mnamo Ijumaa ziliweka masharti ya kuzuia msambao wa aina mpya ya virusi vya corona,...

Shirika la ndege kutumbuiza wateja wake wakiwa safarini

Na BENSON MATHEKA KAMPUNI YA safari za ndege ya Jambojet, imetangaza kuwa imeanzisha huduma za kuburudisha wateja wake wakiwa safarini...

Jambojet yazindua safari za Lamu

NA KALUME KAZUNGU KAMPUNI ya ndege ya Jambojet kwa mara nyingine imezindua safari zake kwenye anga ya Lamu baada ya kuzikatiza kwa...

Kenya yasitisha safari za ndege Somalia

Na MWANDISHI WETU KENYA Jumatatu ilisitisha safari za ndege kwenda na kutoka Somalia kuashiria kuwa uhusiano kati ya mataifa hayo...

Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Manda waanza

NA KALUME KAZUNGU HALMASHAURI ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege nchini (KAA) limeanzisha ukarabati wa uwanja wa ndege wa Manda, Kaunti...

Masharti ya safari za ndege yalegezwa

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imetangaza kulegeza masharti ya kupambana na virusi vya corona kwa wasafiri wa ndege nchini. Tofauti na...

Watu 6 wajeruhiwa katika ajali ya ndege Meru

NA JACOB WALTER Watu sita walipata majeraha baada ya ndege ya polisi iliyokuwa imebeba maafisa wa usalama kuanguka eneo la Kaithe,...

Ada za usafiri wa ndege kuongezeka kutokana na athari za Covid-19

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya usafiri ya ndege wanakadiria ada za usafiri huo huenda zikawa ghali mno huku wakipambana...

KQ kuwalipia Wakenya nauli kutoka New York hadi Nairobi

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Ndege la Kenya Airways (KQ) limetoa tiketi za bure kwa Wakenya waliotaka kusafiri kutoka jijini New York,...

Korti yazuia kukamatwa kwa anayehusishwa na picha ya ndege kutoka China

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imezuia kukamatawa na kushtakiwa kwa afisa wa usalama aliyetimuliwa kazini akikabiliwa na tuhuma za...

Hatumjui, KAA yakana habari za Mkenya aliyedondoka London

Na BENSON MATHEKA MAMLAKA ya kusimamia viwanja vya ndege nchini (KAA), imekanusha habari za shirika la habari la Sky News la Uingereza...