Mganga mashakani ndumba zake kushindwa kunasa vipusa

KORINDA, BUSIA Na DENNIS  SINYO MGANGA mmoja mtaani hapa alitoroka  sokoni baada ya wateja wake kumvamia kutaka kumchapa wakidai...

Tetesi kasisi alitumia ndumba kupora mke

Na CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS Pasta mmoja wa eneo hili ameingiwa na kibaridi baada ya tetesi kutanda mtaani kuwa alitumia...