Walioingiza wasichana wa Nepal nchini kunengua viuno waachiliwa

Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa kilabu kimoja maarufu jijini Nairobi wanaoshtakiwa kuwaigiza nchini wasichana tisa kuwachezea densi wateja...