AFUENI: Wachezaji wawili wa raga kusimama kizimbani tena

Na RICHARD MUNGUTI WACHEZAJI wawili maarufu wa mchezo wa raga waliohukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la ubakaji Jumanne walipata...