Ripoti yaanika uozo katika bima ya kitaifa ya afya NHIF

NASIBO KABALE NA SAMWEL OWINO MATUMIZI mabaya wa fedha za umma, ulaghai, matumizi mabaya ya mamlaka na ufisadi ni miongoni mwa sababu...

Mabadiliko katika NHIF yapingwa vikali

Na CECIL ODONGO MUUNGANO wa Vyama vya Wafanyakazi Kenya (COTU) umepinga arifa iliyopendeza mabadiliko mapya kwa wanaokiuka kulipa ada...

Masharti kwa wanachama wapya wa NHIF

Na BENSON MATHEKA SHIRIKA la Bima ya Kitaifa ya Afya (NHIF) limetoa masharti makali kwa wanachama wapya kuanzia mwezi huu, ambayo lazima...

Bodi ya NHIF ilitumia Sh38 milioni kwa mikutano – Mhasibu

Na SAMWEL OWINO IMEBAINIKA kwamba Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) ilitumia Sh38 milioni za walipa ushuru kuandaa mikutano ya...

NHIF kulipa bili za wanafunzi wanaojifungua

NA FAITH NYAMAI WATAHINIWA wa mitihani ya kitaifa ya KCPE na KCSE ambao watajifungua wakati wa zoezi hilo, watapokea huduma za...

Kaunti yafadhili familia 16,870 kwa NHIF

NA KALUME KAZUNGU FAMILIA 16,870 ambazo hazijiwezi zimepokea kadi za Bima ya Afya ya Hospitalini (NHIF) chini ya udhamini mkuu wa...

Wakenya wasifu hatua ya korti kuzima amri ya NHIF

Na ANITA CHEPKOECH WAKENYA wamefurahia hatua ya Mahakama Kuu kutupilia mbali amri ya hazina ya bima ya kitaifa ya afya (NHIF) kwamba...

Walioiba pesa za NHIF wanastahili adhabu ya wauaji, asema DPP

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji alieleza mahakama ya kuamua kesi za ufisadi kuwa wakuu 21 katika...

Polisi kulinda afisi za Webtribe Ltd

Na RICHARD MUNGUTI POLISI Jumatano waliagizwa wawazuilie wakurugenzi wawili wa kampuni iliyokodiwa kutoa huduma kwa hazina ya kitaifa ya...

Mkinzano katika kesi ya NHIF

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji alieleza mahakama ya kuamua kesi za ufisadi kuwa wakuu 21 katika...

Nyongeza ya ada za NHIF yapingwa

Na ERIC MATARA SHIRIKISHO la Watumizi wa Bidhaa nchini (COFEK) limepinga mipango ya serikali kupandisha ada za malipo ya Hazina ya...

Serikali kuongeza ada ya NHIF

Na BERNARDINE...