Ngilu aweka ushirika na NHIF kuwezesha familia 200,000 za mapato ya chini kugharimia matibabu

Na Kitavi Mutua SERIKALI ya Kaunti ya Kitui imeanza kusajili zaidi ya familia 200,000 kwenye Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kama njia ya...

NHIF yapunguza pesa za dialisisi, CT-Scan

JOHN MUTUA na GERALD ANDAE WAKENYA wanaotegemea Bima ya Kitaifa ya Afya (NHIF) kuwalipia bili za hospitali, sasa watagharimika...

MARY WANGARI: NHIF yahitaji mageuzi ili kuboresha huduma

NA MARY WANGARI KATIKA miezi michache ya hivi karibuni, serikali imekuwa ikijitahidi kufanyia mageuzi muhimu Bima ya Kitaifa kuhusu Afya...

Kila familia kulipa Sh6,000 katika mageuzi mapya NHIF

Na Otiato Guguyu KILA familia italazimika kulipa ada ya lazima ya Sh500 kwa Mpango wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) huku serikali ikiandaa...

NHIF haitagharamia matibabu ya corona – Serikali

Na CHARLES WASONGA WAKENYA masikini wanaougua Covid-19 na wamejisajili kwa Hazina ya Bima ya Kitaifa ya Matibabu (NHIF) wataendelea...

Kilio cha hospitali za maeneo ya mashambani kwa NHIF

Na CHARLES WASONGA HOSPITALI za wamiliki binafsi zinazohudumu maeneo ya mashambani zinaitaka Hazina Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) ilipe...

Ashtakiwa kwa kudai Matiang’i aliugua Covid-19

RICHARD MUNGUTI na TITUS OMINDE MWANAMUME alifikishwa mahakamani Jumatatu kwa madai ya kuchapisha habari za kupotosha na uongo katika...

NHIF kugharimia matibabu ya wagonjwa wa Covid-19 hospitali za serikali

Na CHARLES WASONGA NI afueni kwa wagonjwa wa Covid-19 baada ya Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Matibabu (NHIF) kusema itagharimia matibabu...

NHIF yahitaji mageuzi ili kuboresha afya – Kagwe

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Seneta wa Nyeri Mutahi Kagwe aliyeteuliwa na Rais Uhuru Kenyatta kuwa Waziri wa Afya amesema Hazina ya...

Mutahi Kagwe apendekeza mageuzi katika NHIF

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Seneta wa Nyeri Mutahi Kagwe aliyeteuliwa na Rais Uhuru Kenyatta awe Waziri wa Afya amesema Hazina ya...

Ripoti yaanika uozo katika bima ya kitaifa ya afya NHIF

NASIBO KABALE NA SAMWEL OWINO MATUMIZI mabaya wa fedha za umma, ulaghai, matumizi mabaya ya mamlaka na ufisadi ni miongoni mwa sababu...

Mabadiliko katika NHIF yapingwa vikali

Na CECIL ODONGO MUUNGANO wa Vyama vya Wafanyakazi Kenya (COTU) umepinga arifa iliyopendeza mabadiliko mapya kwa wanaokiuka kulipa ada...