NMG yatoa msaada wa vitabu kwa wanafunzi shuleni Kawangware

Na SAMMY KIMATU WANAFUNZI zaidi ya 2,800 katika shule ya Msingi ya Kawangware Kaunti ndogo ya Dagoretti Mashariki, Nairobi wamepigwa...

NMG yatenga siku ya matumizi ya Kiswahili mara moja kila mwezi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya habari ya Nation Media Group imeimarisha juhudi zake za kukuza matumizi ya Kiswahili kwa kutenga siku moja...

Mombasa Cement na NMG zashirikiana kuinua elimu Kilifi kupitia mradi wa NiE

Na WACHIRA MWANGI SHULE kadhaa katika Kaunti ya Kilifi zimepongeza ushirikiano kati ya Shirika la Habari la Nation (NMG) na Kampuni ya...

Wanahabari wa spoti wa NMG watwaa tuzo

Na MWANDISHI WETU Wanahabari wa spoti wa kampuni ya Nation Media Group (NMG) walitawala hafla ya utoaji tuzo za Muungano wa Wanahabari...

NEOLIN MOMANYI: Hongera NMG kwa kujitolea kuangazia masuala ya wasanii

Na JOHN KIMWERE MWANZO wa ngoma kila mja hujipa matumaini ambapo huwa ni hali ya kutarajia. Ni katika kutumainia na kuvumilia ambapo ana...

Nilistaafu NMG kwa hiari yangu, asema Lolani Kalu

Na HASSAN MUCHAI MWANAHABARI na msanii Lolani Kalu, amekanusha habari ambazo zimekuwa zikienea kupitia mitandao ya kijamii kwamba...

Wanahabari 3 wa NMG watambuliwa na Rais

Na LUCY KILALO WANAHABARI watatu wa shirika la Nation Media Group, Nasibo Kabale, Vera Okeyo na Angela Oketch ni miongoni mwa watu...

NMG yamwomboleza mhariri wa The East African

Na AGGREY MUTAMBO KAMPUNI ya Nation Media Group (NMG) kwa mara nyingine inaomboleza kifo cha mwanahabari katika kipindi kisichozidi...

Aibu msafishaji kuiba kompyuta ya NMG

Na RICHARD MUNGUTI MSAFISHAJI katika jengo la Nation Centre alishtakiwa Jumatano kwa kuiba tarakilishi yenye thamani ya Sh80,000. Bw...

Taifa Leo na Kenya Yearbook kushirikiana kuwafaa wasomaji

Na JUMA NAMLOLA KAMPUNI ya Nation Media Group imeingia kwa mkataba na Kenya Yearbook kuchapisha masuala muhimu ya uchumi kupitia gazeti...

NMG, SG, KBC, Radio Africa na Capital zatisha kujiondoa kwa asasi ya utafiti

Na CHARLES WASONGA KAMPUNI tano kuu za habari nchini zinalalamikia Shirika la Utafiti kuhusu Umaarufu wa Vyombo vya Habari (KARF) kwa...

Mutuma Mathiu ateuliwa Mkurugenzi Mhariri mpya NMG

NA FAUSTINE NGILA KAMPUNI ya Nation Media Group Plc (NMG) Alhamisi ilimteua aliyekuwa mhariri msimamizi wa gazeti la Daily Nation Bw...