Mkopo wa IMF wazua hasira kwa Wakenya

Na MARY WANGARI MKOPO wa Sh257 bilioni uliopewa serikali ya Kenya wiki jana na Shirika la Fedha Duniani (IMF) umepingwa na Wakenya ambao...

Kuongezwa kwa riba kulivyoimarisha thamani ya shilingi ya Kenya

Na CHARLES WASONGA KUONDOLEWA wa sheria ya udhibiti wa riba inayotozwa na benki kwa mikopo ni mojawapo ya sababu zilizochangia kuimarika...

Noti nzee za thamani ya Sh7.3 bilioni hazikurejeshwa – Benki Kuu

Na CECIL ODONGO GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Dkt Patrick Njoroge Jumatano alitangaza kwamba, Wakenya hawakurejesha noti za zamani...

RASMI: Kwaheri noti nzee ya ‘thao’

Na VALENTINE OBARA NOTI nzee ya Sh1,000 hatimaye imegeuka karatasi isiyo na thamani yoyote, baada ya muda wa mwisho wa matumizi yake...

Viongozi, waumini wamimina noti nzee makanisani

Na TITUS OMINDE HUKU makataa ya kurudishwa kwa noti nzee za Sh1,000 yakitimia leo, imebainika idadi kubwa ya noti hizo zilitolewa kama...

Ziko wapi Sh30 bilioni makataa yakitimia Jumatatu?

Na PAUL WAFULA na BENSON MATHEKA JUHUDI za Benki Kuu ya Kenya (CBK), za kutwaa mabilioni ya pesa zilizofichwa na mabwanyenye nyumbani...

Noti za Sh1000: Gavana wa CBK awataka Wakenya kuchukua tahadhari kuu

Na MWANGI MUIRURI GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Patrick Njoroge ameonya Wakenya kuwa muda hautaongezwa wa makataa ya uhalali wa...

Wakenya waishangaa CBK kusambaza noti za zamani za Sh1,000

Na PAUL WAFULA BENKI Kuu (CBK) imekosolewa kwa kuendelea kusambaza noti za zamani za Sh1,000 huku makataa ya kurudisha noti hizo benki...

CBK kushirikiana na benki za kigeni kunasa wafisadi

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Patrick Njoroge Alhamisi amesema kuwa benki hiyo inashirikiana na benki kuu za...

CBK yashikilia tafsiri sahihi ya ‘Bank’ ni ‘Banki’ kwenye noti mpya

Na CHARLES WASONGA MKUU wa kitengo cha mawasiliano katika Benki Kuu ya Kenya Wallace Kantai (pichani) Jumatano alizima mjadala kuhusu...

Polisi wanasa washukiwa wakichuuza noti za 1,000

Na NDUNGU GACHANE POLISI katika Kaunti ya Murang’a wanachunguza madai ya ulanguzi wa pesa, baada ya watu wawili kukamatwa kwa tuhuma...

Tanzania yapiga marufuku noti za Kenya

Na VALENTINE OBARA BENKI Kuu ya Tanzania imepiga marufuku ubadilishanaji wa sarafu za Kenya kwa zile za Tanzania. Taarifa...