JAMVI: Kuondolewa kwa noti ya Sh1,000 pigo kwa kampeni za 2022

 Na LEONARD ONYANGO HATUA ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) kuzindiua noti mpya na kubatilisha matumizi ya noti ya sasa ya Sh1,000 kuanzia...

Ruto apokezwa noti mpya

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amepokea rasmi noti mpya iliyozinduliwa na Benki Kuu ya Kenya (CBK) katika hafla iliyoongozwa...

TAHARIRI: Sheria kali kuhusu noti mpya zikazwe

NA MHARIRI Hatua ya serikali kutangaza siku ya kuharamisha noti ya sasa ya Sh1,000 ni ya kupendeza ila ina walakini moja. Muda...

Njoroge kuendelea kuwa gavana wa Benki Kuu ya Kenya

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amemteua Gavana wa Benki Kuu ya Kenya, Dkt Patrick Njoroge, kuhudumu kwa kipindi kingine cha miaka...

Serikali yaonya wanaokataa noti ya sasa ya Sh1000

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI Alhamisi imeonya wamiliki wa nyumba wanaohangaisha wapangaji kwa kuwataka wasilipe kodi ya nyumba kwa...

Kesi ya kupinga noti mpya yapelekwa kwa Maraga

Na RICHARD MUNGUTI KESI ya kupinga kuzinduliwa kwa noti mpya iliyowasilishwa na mwanaharakati Okiya Omtatah imepelekwa kwa Jaji Mkuu...

Polisi kuchunguza zaidi dereva aliyenaswa na Sh1m akielekea Ethiopia

Na WAWERU WAIRIMU MAHAKAMA ya Isiolo imewapa polisi wiki moja kumaliza uchunguzi katika kesi ambapo dereva mmoja wa Serikali ya Kaunti...

Pesa nilizoweka kwa nyumba nitanunua ‘mathwiti na makeki’- Kuria

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria sasa ameanza kuwakejeli watu anaosema walikuwa wamehifadhi mabunda ya pesa nyumbani...

Pendekezo wanaochanga zaidi ya Sh100,000 waripoti kwa EACC

Na SAMWEL OWINO WATUMISHI wote wa umma wanaochanga zaidi ya Sh100,000 katika harambee watahitajika kutoa ripoti zao za ulipaji ushuru...

Sura ya Mzee Kenyatta yazua utata wa noti mpya

CECIL ODONGO na RICHARD MUNGUTI UTUMIZI wa noti mpya zilizozinduliwa Jumamosi na Benki Kuu ya Kenya (CBK) umeendelea kupingwa na...

ODM wapinga noti mpya

RUTH MBULA na MARY WAMBUI VIONGOZI wakuu wa Chama cha ODM, wamepinga noti mpya zilizozinduliwa na Benki Kuu ya Kenya mnamo Jumamosi, na...

Mabunda ya Sh1m yapatikana kwa buti ya gari la kaunti mpakani

NA MWANDISHI WETU POLISI Jumapili wamenasa dereva wa Kaunti ya Samburu akisafirisha mabunda ya fedha, siku moja baada ya Gavana wa Benki...