Mwanamume, 51, akatwa sehemu nyeti na wenzake akiwa usingizini

Na NDUNGU GACHANE MWANAMUME mwenye umri wa miaka 51, amelazwa katika hospitali ya Murang’a Level Five, baada ya kukatwa sehemu nyeti...

Kijana ashtua wanakijiji kujinyofoa sehemu nyeti

Na BENSON AMADALA WAKAZI wa kijiji cha Shikustse, Wadi ya Kabras Magharibi, Kaunti ya Kakamega bado wapo kwenye hali ya mshangao baada...

Wanawake waonywa dhidi ya kupaka mafuta sehemu za siri

Na MISHI GONGO MADAKTARI wameonya kuwa wanawake wengi wako katika hatari ya kupata saratani ya kizazi na utasa kutokana na kutumia...

Ajikata nyeti na kuzihifadhi kwa jokofu

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME mmoja nchini Marekani alitumia kisu kukata nyeti zake zote, katika juhudi za kujikomboa kutoka...

Visa vya wanaume kujifyatua risasi nyeti kimakosa vyazidi

MASHIRIKA Na PETER MBURU   MWANAMUME kutoka Nebraska, US amelazwa hospitalini baada ya kujipiga risasi sehemu nyeti kwa...

Uume wa mwanamume aliyevamiwa Migori wapatikana TZ

NA DANIEL OGETTA POLISI katika Kaunti ya Migori wamesema wamepata nyeti za mwanamume wa miaka 31 aliyevamiwa na uume wake kunyofolewa na...

Akatwa uume baada ya kufumaniwa akimumunya mke wa mtu

Na PETER MBURU MWANAMUME 'fisi' kutoka mtaa wa Majengo, Tunduma, eneo la Songwe nchini Tanzania anapokea matibabu hospitalini, baada ya...

Afariki akifanyiwa upasuaji kuongeza ukubwa wa uume

MASHIRIKA Na PETER MBURU PARIS, UFARANSA MWANAMUME bilionea aliaga dunia alipokuwa akifanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuongeza ukubwa...

Afichulia pasta jembe la mumewe halimfikishi Canaan

Na DENNIS SINYO MOI’S BRIDGE, TRANS NZOIA  Kalameni wa eneo hili, alimkemea mkewe vikali akidai alikuwa akimtangaza kanisani...

Mswada kielelezo watua bungeni wabakaji wakatwe uume

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa wabunge wa kike kutoka jamii za wafugaji sasa unapendekeza kuwa sheria kuhusu dhuluma za kimapenzi...

Aapa kwa jina la Mola mara 7 akidai polisi walimuumiza sehemu nyeti

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa mauaji alisababisha kioja na vicheko mahakamani alipoapa mara saba kwa jina la MUNGU kuthibitisha...

Mwanamke aliyezaliwa bila uke aomba msaada kupata watoto

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE kutoka Canada ambaye alizaliwa bila sehemu nyeti na utumbo wa mtoto anajikaza kuchangisha zaidi ya Sh9...