‘NYS haijatwaa usimamizi wa Kemsa’

PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) Matilda Sakwa amepuuzilia mbali madai kuwa...

NYS sasa ni safi kama pamba, afisa mkuu asifia mageuzi

Na Kenya News Agency MKURUGENZI wa Shirika la Kitaifa la Huduma kwa Vijana (NYS) Matilda Sakwa amesema kuwa ufisadi ambao umezingira...

Mfumo mpya wa wasaka-kazi kuwafaa vijana

Na MARY WANGARI VIJANA nchini Kenya huenda wakanufaika pakubwa kutokana na nafasi za ajira katika sekta za umma na za kibinafsi kufuatia...

ONYANGO: Kukwama kwa ‘Okoa Abiria’ kwazua maswali

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI ilizindua kwa mbwembwe mabasi 27 ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) mnamo Machi 2018 kwa lengo...

NYS yashindwa kulipia makurutu karo ya vyuo anuwai

DAVID MUCHUI Na BENSON MATHEKA MAKURUTU zaidi ya 16,000 wa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS), wamefukuzwa katika vituo vya...

Waliouzia NYS bidhaa hawajalipwa miaka 4 baadaye

Na BERNARDINE MUTANU BAADHI ya wanakandarasi halali wa Huduma ya Kitaifa ya Vijana (NYS) kufikia sasa hawajalipwa miaka minne baada ya...

Mwongozo wa kununua bidhaa NYS ulikuwa na dosari, korti yaambiwa

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa masuala ya usimamizi katika Wizara ya Ardhi Bw Julius Kiplagat Kandie Jumatano alikiri kwamba mwongozo...

UFISADI: Kesi ya NYS ilivyowaudhi Wakenya 2018

Na RICHARD MUNGUTI LICHA ya kuwazingira washukiwa wa kashfa ya shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma...

NYS sasa kutegemea mapato yake kujiimarisha

Na CHARLES WASONGA MSWADA unaolenga kuimaisha usimamizi wa Shirika la Vijana kwa Huduma kwa Taifa (NYS) na kuipa sura mpya baada ya...

Maandalizi duni ya kesi ya NYS yafanya mahakama kulia hoi

Na RICHARD MUNGUTI KUTOANDAA ipasavyo ushahidi katika kesi ya kashfa ya Sh226milioni iliyokumba shirika la huduma ya vijana kwa taifa...

Washukiwa wa 37 wa NYS walia wanasiasa kudai lazima watafungwa

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA 37 katika kashfa ya Sh226 milioni iliyokumba shirika la huduma ya vijana kwa taifa akiwamo aliyekuwa katibu...

DPP akubaliwa kuwasilisha ushahidi mpya dhidi ya familia ya Ngirita

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA  imemkubalia Mkurugenzi wa Umma (DPP) Noordin Haji kuwasilisha ushahidi mpya jinsi kampuni za familia ya...