KASHFA YA NYS: Malumbano mahakamani

Na RICHARD MUNGUTI KULIZUKA malumbano makali baina ya mawakili wanaowatetea washukiwa 37 katika kashfa ya Sh8bilioni ya shirika la huduma...

Mahakama yamkubalia Anne Ngirita kwenda kutibiwa

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA mkuu katika kashfa ya NYS Bi Anne Wambere Wanjiku Ngirita Jumanne aliruhusiwa kwenda hospitali na mahakama...

SAKATA YA NYS: Kesi yaanza rasmi

Na RICHARD MUNGUTI KESI ya kashfa ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) dhidi ya washtakiwa 37 iliyopelekea zaidi ya...

Mswada mpya jikoni kuruhusu NYS kuhudumu KDF

Na VALENTINE OBARA BARAZA jipya litakalobuniwa kusimamia Shirika la Huduma za Vijana kwa Taifa (NYS), litapewa mamlaka ya kuamua...

Mswada wa NYS kuwasilishwa bungeni

Na BERNARDINE MUTANU BARAZA la Mawaziri limeidhinisha mkataba kutoka Wizara ya Vijana na Huduma za Umma. Mkataba huo ulibuniwa kwa lengo...

Kesi ya tatu ya sakata NYS kuanza Februari 2019

Na RICHARD MUNGUTI MOJA ya kesi tatu dhidi ya waliokuwa maafisa wa shirika la huduma ya  vijana kwa taifa ya sakata ya Sh469 milioni...

SAKATA YA NYS: Kesi kuanza kusikizwa Januari 2019

Na RICHARD MUNGUTI KESI ya sakata ya Sh469 milioni katika Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu Bi...

NYS: Agizo DPP atenganishe kesi kumi mara tatu

Na Richard Munguti MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw Noordin Haji Jumanne aliamriwa atenganishe mara tatu kesi kumi za kashfa ya...

Mashahidi 43 kuitwa kwenye kesi ya NYS

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa mashtaka ya umma (DPP) Jumatano alisema ataita mashahidi 43 kutoa ushahidi katika kesi inayowakabili...

Hamtawahi kusikia wizi tena NYS, serikali yaahidi Wakenya

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imewahakikishia Wakenya kuwa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) halitakumbwa na kashfa nyingine...

SAKATA YA NYS: Dhamana ya Lillian Omollo yakubaliwa,aondoka gerezani

Na RICHARD MUNGUTI KATIBU mkuu Wizara ya Utumishi wa Umma, Vijana na Masuala ya Jinsia Bi Lillian Omollo alikuwa wa kwanza kuruhusiwa...

Mlima wa nakala za ushahidi kwenye kesi ya wizi NYS

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU anayesikiza kesi ya ufisadi dhidi ya washukiwa 41 wa sakata ya shirika la huduma ya vijana kwa taifa NYS...