Auza nyumba ya babake akimdai Sh200,000

Na STEPHEN ODUOR MWANAMUME katika eneo la Garsen, Kaunti ya Tana River ameshangaza wenyeji kwa kuuza nyumba ya babake akimdai...

Wafanyakazi wakerwa na KPA kuuza nyumba

Na KNA na MWANDISHI WETU WAFANYAKAZI wa Halmashauri ya Bandari Kenya (KPA) wamekashifu vikali hatua ya usimamizi wa halmashauri hiyo ya...

Kesi ya ada ya nyumba yafikishwa kwa Maraga

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya kuamua mizozo baina ya waajiri na wafanyakazi (ELRC) Jumatatu iliamuru kesi ya ada ya nyumba ipelekwe kwa...

Rais akagua miradi ya nyumba Nairobi

PSCU Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano alifanya ziara ya ghafla kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba na barabara Jijini...

Muda wa marufuku ya ada ya nyumba waongezwa

Na SAM KIPLAGAT SERIKALI Jumatatu ilipata pigo baada ya Mahakama ya Leba kuongeza muda wa marufuku inayoizuia kukata asilimia 1.5 ya...

Ikulu yakemewa kuzidi kutetea mradi wa nyumba

Na PETER MBURU WAKENYA wameikaanga Ikulu kwa kuendelea kutetea mpango wa kuwakata watu pesa ili kufadhili ujenzi wa nyumba za bei nafuu,...

ADA YA UJENZI: Atwoli atasaliti wafanyakazi?

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wanasubiri kwa hamu na ghamu kuona ikiwa Rais Uhuru Kenyatta atabadili msimamo wake kuhusiana na ada ya...

Atwoli akemea FKE kwa kupinga ushuru wa ujenzi wa nyumba

COLLINS OMULO na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Wafanyakazi Nchini (COTU), Francis Atwoli, ameshambulia Shirikisho la...

MBURU: Mazoea ya serikali kulazimishia wananchi mambo yanakera

Na PETER MBURU SERIKALI imekuwa na mtindo wa kuwawekelea Wakenya mizigo ya kiuchumi kila inapotaka, bila kuwaomba ushauri wala kujali...

Pata potea ya nyumba nafuu

Na PETER MBURU MATUMAINI ya Wakenya watakaokatwa pesa kwenye mishahara yao kufadhili ujenzi wa nyumba nafuu chini ya mpango wa serikali...

BONGO LA BIASHARA: Sh100 za chama kila wiki zajengea wanabodaboda nyumba

Na PHYLIS MUSASIA SH100 walizojikakamua kukusanya kila wiki kutoka kwa jasho la kuendesha bodaboda licha ya purukushani na askari wa...

Wakenya wachemka kupinga ada ya ujenzi wa nyumba

Na WAANDISHI WETU WAKENYA Jumatano walionyesha ghadhabu kubwa kuhusiana na mpango wa serikali kuwatoza ada ya Mpango wa Kitaifa wa...