Washirika wa Ruto wadai Obado avuruga chama cha Naibu Rais

Na IAN BYRON HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William...

Obado na kakaye Ruto wakutana kukata miguu Raila eneo la Nyanza

Na Justus Ochieng GAVANA wa Migori Okoth Obado anapanga kubuni muungano na Naibu Rais William Ruto katika juhudi za kuyeyusha ushawishi...

Viongozi wa ODM wataka Obado atimuliwe chamani

Na IAN BYRON VIONGOZI wa Chama cha ODM, tawi la Migori wametaka makao makuu ya chama hicho kuanzisha mpango wa kumtimua Gavana wa Kaunti...

JAMVI: Hivi anavyokuja Obado, ndiye kizibo cha Raila Nyanza?

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya Gavana wa Migori Okoth Obado kumshambulia kinara wa ODM Raila Odinga imezua hisia tofauti miongoni mwa...

Kesi ya ufisadi ya Obado na wanawe kuendelea Nairobi

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA kuu jana ilikataa kuhamisha kesi ya ufisadi wa Sh73milioni dhidi ya Gavana Okoth Obado , wanawe na...

ODM yaanza kuongea na Obado baada ya kushindwa kumtimua

Na Charles Wasonga GAVANA wa Migori Okoth Obado Alhamisi alikutana na uongozi wa ODM majuma mawili baada ya juhudi za chama hicho...

Obado sasa adai chama cha ODM kimejaa udikteta

Na GEORGE ODIWUOR GAVANA wa Migori Okoth Obado ameshutumu uongozi wa chama cha ODM kwa kukimbilia kuwarai madiwani wamwondoe mamlakani...

Obado aomba korti imtimue wakili wa familia ya Sharon

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Migori, Bw Okoth Obado anayekabiliwa na shtaka la kumuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno...

Jaji Jessie Lesiit adinda kujiondoa kusikiliza kesi ya mauaji ya Sharon Otieno

Na MAUREEN KAKAH na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu inayosikiliza kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon...

Obado awaumbua maseneta kwa kumwanika Waititu

Na PETER MBURU GAVANA wa Migori Okoth Obado Jumatatu alifika mbele ya Kamati ya Seneti Kuhusu Uhasibu akiwa amejipanga kukabiliana nayo...

Obado aililia mahakama imhurumie

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Migori Alhamisi aliomba mahakama kuu ibatilishe masharti aliyowekewa ya kutotembea nje ya kaunti hiyo...

Nimetii masharti yote ya mahakama, asema Obado

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Migori Okoth Obado anayekabiliwa na shtaka la kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo Sharon...