Maajabu ya pacha kufariki siku moja

NA KITAVI MUTUA NDUGU wawili pacha, Onesmus Susa Mati na Gabriel Mutie Mati, waliozaliwa siku moja, wamefariki siku moja katika kisa...

Mjakazi hofu tele pacha wake watakosa elimu ya sekondari

Na SAMMY KIMATU PACHA waliofanya Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Msingi (KCPE) mwaka uliopita, wanahofia kukosa kujiunga na Kidato cha...

Rekodi muhimu kuhusu Sharon na Melon zakosekana hospitalini

Na BENSON AMADALA MAAFISA katika hospitali ya Kakamega Referral Jumatatu walisema kuwa rekodi muhimu kuhusu pacha waliozaliwa...

AKILIMALI: Mkulima analala pazuri kwa kufuga kondoo kwa ajili ya sufu na nyama

Na RICHARD MAOSI NYANDA za juu katika Bonde la Ufa, ni mwafaka kwa ufugaji wa kondoo hasa kwa ajili ya uzalishaji wa nyama na manyoya...

Mwanamke aliyejifungua watoto 5 afariki

Na CHARLES WASONGA MWANAMKE kutoka kijiji cha Sisokhe eneo bunge la Navakholo, kaunti ya Kakamega ambaye mwezi Machi alijifungua pacha...

Pacha waungama kushiriki ngono na mpenzi mmoja

MASHIRIKA Na PETER MBURU PACHA wawili kutoka Australia wametoboa kuwa wamekuwa wakishiriki ngono na mpenzi wao mmoja kwa zamu, kwa miaka...

IVF: Pacha wa baba tofauti wazaliwa kiteknolojia

MASHIRIKA Na PETER MBURU HISTORIA imeundwa baada Pya mbinu za uzalishaji kwa kutumia teknolojia kuwezesha pacha wawili wa baba tofauti...

Pacha aliyeibwa hospitalini Kenyatta apatikana

[caption id="attachment_1942" align="aligncenter" width="800"] Picha ya mnaso kwa video yaonyesha mamaye pacha hao akisema na wanahabari...