Bodaboda walia polisi jijini bado wanawadhulumu

NA JOSEPH NDUNDA MSAKO unaoendelea kuwaondoa wahudumu wa bodaboda katikati ya jiji la Nairobi unasemekana kugeuzwa kuwa kitega uchumi...

Polisi ashtakiwa kushindwa kulipia pombe aliyobugia

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi ameshtakiwa kushindwa kulipa pombe aliyobugia na sigara alizofuta. Perminus Nderitu alikabiliwa na...

Mauaji: Polisi waashiria kukata rufaa

Na PHILIP MUYANGA MAAFISA watatu wa polisi na mwenzao aliyestaafu ambao walipatwa na hatia ya kumuua Muingereza Alexander Monson katika...

Polisi aua 7 akiwemo mkewe kabla kujiua

DANIEL OGETA, MARY WANGARI na BENSON MATHEKA SERIKALI imesukuma maafisa wa polisi kuzama katika mfadhaiko na mzongo wa mawazo na...

TAHARIRI: Polisi waangalie upya mishahara ya maafisa wao

KITENGO cha UHARIRI IDARA ya polisi ni kikosi ambacho hutarajiwa kuwa na nidhamu. Maafisa wa polisi, sawa na wanajeshi na wengine wa...

Polisi walia mishahara yao kupunguzwa

MARY WAMBUI na CHARLES WANYORO MAAFISA wa polisi wapatao 1,000 wanapanga kushtaki Huduma za Polisi nchini na tume yake kulalamikia...

Polisi wapokea mafunzo jinsi ya kukabili ufisadi

Na TITUS OMINDE TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Kaskazini mwa Rift Valley, imetoa mafunzo kwa zaidi ya maafisa 20 wakuu...

Natembeya awatimua maafisa wa usalama

NA RICHARD MAOSI MRATIBU wa Bonde la Ufa George Natembeya amewapiga kalamu maafisa kadhaa wa usalama kutoka Nakuru Kaskazini kwa kile...

BENSON MATHEKA: Ripoti ya Kriegler itekelezwe kusaidia polisi humu nchini

Na BENSON MATHEKA VISA vya maafisa wa polisi kuua wenzao, kujiua na kuua familia zao vinaonyesha kwamba kuna tatizo kubwa ndani ya...

Vitengo vinne vikuu kuwakabili polisi watendao maovu

Na MARY WAMBUI ASASI nne kuu serikalini sasa zitakuwa zikichunguza mauaji na ukiukaji wa haki za kibinadamu unaotekelezwa na polisi...

Polisi ahepa kazi Mombasa kufukuzia penzi la mama waliyekutana mtandaoni

Na MWANGI MUIRURI POLISI mjini Maragua katika Kaunti ya Murang’a wanachunguza kisa ambapo afisa wa polisi anadaiwa alisafiri kutoka...

Maamuzi tofauti ya korti yaibua utata kesi ya polisi

Na BRIAN WASUNA MAAFISA wa polisi wanaopinga kufutwa kazi kwao miaka kadhaa iliyopita walipofeli zoezi la ukaguzi kuhusu maadili,...