Wakazi walaani polisi kuwatesa Mama Ngina

Na MOHAMED AHMED WAKUU wa polisi wanachunguza malalamishi kuwa maafisa wa usalama wana tabia ya kuwahangaisha raia wanaoenda kubarizi...

DOUGLAS MUTUA: Polisi pia ni watu, watunzwe ndipo wapate ari kutulinda

Na DOUGLAS MUTUA NIMEJIPATA nikitafakari sana kuhusu maisha ya polisi wa Kenya baada ya kushuhudia maombolezi ya kifo cha ofisa wa...

Mashirika yamlaumu DPP kwa kuondoa kesi dhidi ya polisi

Na BENSON MATHEKA Mashirika 18 ya kutetea haki za binamu yamemlaumu Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji kwa kuondoa...

SAMMY WAWERU: Visa vya askari kujiua na kuangamiza wenzao vichunguzwe

Na SAMMY WAWERU KATIKA siku za hivi karibuni visa vya askari kujiua kwa silaha wanazotumia kuimarisha usalama na pia kuangamiza wenzao...

Polisi wengi wagura kazi, walia wanalipwa mshahara wa kitoto

Na Steve Njuguna POLISI wengi wa akiba (NPRs) Kaunti ya Laikipia, wameacha kazi hiyo wakilalamika kwamba wanalipwa mshahara wa chini na...

BENSON MATHEKA: Polisi wakomeshe dhuluma kwa raia

Na BENSON MATHEKA KUONGEZEKA kwa visa vya ukatili ambao polisi wanatendea raia wasio na hatia nchini kunaweza kuathiri uchumi. Maafisa...

Afiza wa zamani wa KDF asema polisi walitaka kumtia adabu

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa Majeshi ya Kenya (KDF) aliyesimamishwa kazi Jumatatu alitoboa kortini siri ya polisi mbele ya hakimu mkuu...

Lalama zazuka baada ya polisi katili kutetewa

STELLA CHERONO Na CHARLES LWANGA Kanda ya video iliyosambazwa mtandaoni ikionyesha polisi wakimshambulia mfanyabiashara wa Naivasha, Bw...

Kamata kamata ya polisi kwa wasiovalia maski Krismasi ikianza

Na SAMMY WAWERU Maafisa wa polisi jijini Nairobi na viunga vyake wanaendeleza msako mkali kwa wanaopuuza kuvalia maski wakiwa katika...

Polisi waua watu watatu uchaguzi ukianza Tanzania

Na MASHIRIKA CHAMA kikuu cha upinzani katika kisiwa cha Zanzibar kisichojisimamia binafsi, kilisema jana kuwa watu watatu waliuawa na...

Ruto awaondolea lawama polisi waliovuruga mikutano yake

RUTH MBULA na WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto, jana aliwaondolea lawama polisi waliovunja mikutano yake wiki iliyopita, na...

IG atetea polisi wavunjao mikutano ya kisiasa

Na BENSON MATHEKA INSPEKTA Jenerali wa polisi, Hillary Mutyambai, ametetea hatua ya polisi ya kumnyima Naibu Rais William Ruto kibali...