Droo ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16-bora kufanywa upya muda mchache ujao baada ya kutokea kwa hitilafu za kiteknolojia leo mchana

Na MASHIRIKA DROO ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16-bora kufanywa upya muda mchache ujao baada ya kutokea kwa hitilafu za kiteknolojia leo...

Rennes wapiga PSG breki kali katika kampeni za Ligue 1

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walipokezwa kichapo cha kwanza katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) mnamo Jumapili baada ya...

PSG yapepeta Lyon kwenye mechi ya kwanza ya Messi katika uwanja wa nyumbani

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alichezeshwa na Paris Saint-Germain (PSG) kwa mara ya kwanza katika uwanja wa nyumbani wa Par des Princes ila...

Malengo yangu ni kushindia PSG taji la kwanza la UEFA – Messi

Na MASHIRIKA LIONEL Messi amesema kubwa zaidi katika maazimio yake kwa sasa ni kuongoza miamba wa soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain...

Mshindi wa Ligue 1 msimu huu kujulikana siku ya mwisho ya kampeni

Na MASHIRIKA NI rasmi kwamba mshindi wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) msimu huu wa 2020-21 sasa atajulikana katika siku ya mwisho ya...

Mchecheto PSG jeraha likitishia kumweka nje Mbappe katika marudiano dhidi ya Man-City kwenye UEFA

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) wana mchecheto mkubwa kadri wanavyosubiri kufahamu hali ya fowadi Kylian Mbappe anayetazamiwa...

UCL: Bayern na PSG kukabana tena

PARIS, Ufaransa Huku wakikabiliwa na kibarua kigumu cha kubadilisha kichapo cha 3-2 kutoka kwa Paris Saint-Germain (PSG) katika pambano...

Jeraha kumnyima Neymar fursa nyingine ya kucheza dhidi ya Barcelona kwenye kivumbi cha UEFA msimu huu

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI Neymar Jr hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachotegemewa na kocha Mauricio Pochettino wa Paris Saint-Germain...

Moise Kean afungia PSG tena na kuwaongoza kutua kileleni mwa Ligue 1

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) waliwacharaza Nice 2-1 uwanjani Parc des Princes, Februari 13, 2021, na kutua kileleni mwa jedwali...

PSG warejea kileleni mwa jedwali l

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walirejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) baada ya kupepeta Angers 1-0...

PSG waduwazwa na limbukeni Lens katika Ligi Kuu ya Ufaransa

Na MASHIRIKA KIKOSI cha Paris Saint-Germain (PSG) kilianza vibaya kampeni za msimu huu wa 2020-21 katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue)...

PSG wawapepeta RB Leipzig 3-0 na kufuzu fainali ya Uefa Champions League

Na CHRIS ADUNGO MIAMBA wa soka nchini Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG) waliwapepeta RB Leipzig 3-0 kwenye nusu-fainali ya Klabu...