UEFA yatoza PSG faini ya Sh3.7 milioni kwa kujikokota kurudi uwanjani kipindi cha pili mechi dhidi ya Atalanta

Na CHRIS ADUNGO MIAMBA wa soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG) wametozwa faini ya Sh3.7 milioni kwa hatia ya kutorejea uwanjani...

Thiago Silva awaniwa na klabu tano za EPL

Na MASHIRIKA THIAGO Silva amesema atahiari kusalia katika mojawapo ya klabu za bara Ulaya kwa misimu miwili zaidi baada ya waajiri wake...

Icardi apokezwa mkataba wa kudumu kambini mwa PSG

Na CHRIS ADUNGO MIAMBA wa soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili mshambuliaji matata wa Inter Milan na timu ya taifa ya...

PSG watawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa

Na CHRIS ADUNGO PARIS Saint-Germain (PSG) wametawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) siku chache baada ya serikali ya taifa...

MAUANO: Patashika nguo kuchanika PSG na Real Madrid zikipapurana

Na MASHIRIKA PARIS, Ufaransa MECHI iliyosubiriwa kwa hamu kubwa kati ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Real Madrid...

Mwenye nguvu nipishe Juve na Atletico wakivaana UEFA

Na MASHIRIKA MADRID, Uhispania UWANJA maarufu wa Wanda Metroplitano jijini hapa unatazamiwa leo Jumatano kujaa hadi pomoni wakati...

BILA KITITA HATOKI NG’O! Neymar atamani sana kuondoka PSG

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA PARIS Saint-Germain (PSG) imekataa ofa ya kwanza rasmi kutoka kwa Barcelona kwa mchezaji nyota wa...

MNADANI: PSG wako tayari kumtupa Neymar sokoni

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA PARIS Saint-Germain (PSG) wamefichua azma ya kumpiga mnada nyota Neymar Jr iwapo watampata mnunuzi aliye...

NI KIVUMBI: Manchester United pembamba wakizuru PSG kwa marudiano ya UEFA

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA LICHA ya kichapo cha 2-0 ambacho Manchester United walipokea kutoka kwa PSG katika mkondo wa kwanza ugani...

Tuchel awashangaa mashabiki wa Man U kumzomea Di Maria baada ya kichapo

NA CECIL ODONGO MKUFUNZI wa Paris Saint Germain Thomas Tuchel amekiri kushangazwa kwake na kisa cha kuzomewa kwa winga wa timu hiyo...

UEFA: Salah, Mane na Firmino vs Neymar, Mbappe na Cavani

Na CECIL ODONGO MECHI za kuwania klabu bingwa barani Uropa msimu wa 2018/19 hatimaye zinarejea kuanzia Jumanne ya Agosti 17 na Jumatano ya...