Vikosi vya Kenya Cup vyafutilia mbali mpango wa kukamilisha msimu wa 2019-20

Na CHRIS ADUNGO KLABU za raga ya humu nchini zimefutilia mbali mpango wa kukamilishwa kwa kampeni za msimu wa 2019-20 katika Ligi Kuu ya...

Mikoba ya Shujaa yavutia makocha 11 wa kigeni na watatu wa humu nchini

Na CHRIS ADUNGO JUMLA ya makocha 14 kutoka ughaibuni na humu nchini wamewasilisha maombi ya kupokezwa fursa ya kudhibiti mikoba ya timu ya...

AFUENI: Wachezaji wawili wa raga kusimama kizimbani tena

Na RICHARD MUNGUTI WACHEZAJI wawili maarufu wa mchezo wa raga waliohukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la ubakaji Jumanne walipata...

Msiingize siasa katika timu zenu za taifa za raga, kocha Ben Ryan ashauri Kenya

Na GEOFFREY ANENE WANARAGA wa Kenya walinufaika na mafunzo kutoka kwa kocha mtajika Benjamin Ryan kuhusu mbinu inazostahili kutumia...

Hofu ya Shujaa baada ya raga ya Afrika kufutiliwa mbali

Na CHRIS ADUNGO KOCHA wa timu ya taifa ya wanaraga saba kila upande, Kevin Wambua, amesema kwamba kufutiliwa mbali kwa msimu wa Raga ya...

Simbas kutumia kipute cha raga ya Afrika kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha kuwania Raga ya Kombe la Afrika mnamo 2022 sasa kitatumiwa na Kenya Simbas kufuzu kwa fainali za Kombe la...

Wanariadha waliosafiri India warudi humu nchini

NA DAVID MACHARIA Wachezaji wa riadha wanne waliokuwa wamekwama India kwa sababu ya virusi vya corona wameeleza jinsi waliteseka huku...

Pigo kwa Simbas msimu wa raga ukifutwa

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha raga cha Barthes Cup kilichokuwa kimeratibiwa upya kuandaliwa humu nchini mnamo Septemba 2020 sasa...

Strathmore Leos kusajili wachezaji watano

Na CHRIS ADUNGO VIONGOZI wa jedwali la Ligi ya Daraja la Kwanza la Raga ya Kenya (Championship), Strathmore Leos wamefichua azma ya...

KRU yaunda kamati ya kuamua hatima ya msimu huu wa raga ya Kenya

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Raga la Kenya (KRU) limeunda kamati ya watu sita ambao wametwikwa jukumu la kutathmini mapendekezo ya...

Staa wa Shujaa Allan Makaka afariki

NA AYUMBA AYODI MWANARAGA aliyekuwa na kasi ya kupindukia Allan Makaka wa timu za raga za taifa ya Shujaaa na Simba ameaga...

TANZIA: Nyota wa zamani wa timu ya taifa raga Allan Makaka afariki

Na GEOFFREY ANENE KENYA imeamkia habari za kuhuzunisha Jumamosi baada ya kumpoteza nyota wake wa zamani wa timu ya taifa ya raga ya...