Presha kwa Raila

NA LEONARD ONYANGO UCHAGUZI Siku moja baada ya kinara wa Narc-K, Martha Karua kumeza chambo cha mwaniaji urais kwa tikiti ya Azimio...

Raila atua Uingereza kuosha tope la Ruto

NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM na mgombea urais wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga, anazuru Uingereza katika ziara...

Vita vya magavana, Kalonzo pigo kwa Raila Ukambani

Na PIUS MAUNDU VITA vya ubabe vinavyoendelea kati ya magavana watatu wa eneo la Ukambani kwa upande mmoja na viongozi wa Wiper kwa...

Historia yawafaa Ruto, Raila 50:50

Na CHARLES WASONGA HISTORIA ya kinyanga’anyiro cha urais nchini inaonyesha ushindi wa Agosti 9 unaweza kwenda upande wowote kati ya...

Raila na Ruto wararuana vikali Mlimani

Na WAANDISHI WETU NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga jana walivamia eneo la Mlima Kenya kusaka kura za urais huku...

Raila kupokea wabunge wa ANC Murang’a

Na LEONARD ONYANGO KINARA wa Azimio la Umoja Raila Odinga leo Jumamosi anatarajiwa kutumia mkutano wake uwanjani Ihura, Kaunti ya...

Vijana waapa kuunga Raila

Na KENYA NEWS AGENCY ZAIDI ya vijana 2,000 kutoka maeneobunge yote ya Kaunti ya Nyamira wamejitokeza na kusema kuwa wataunga mkono azma...

Raila adai Ruto alichangia kufeli kwa Jubilee

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amemlaumu Naibu Rais William Ruto kutokana na kufeli kwa serikali ya Jubilee katika...

Raila awahimiza Wakenya washirikiane bila kujali kabila, rangi

Na WANGU KANURI KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amewaahidi wafuasi wake waliokongamana katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Mount...

Raila ayakashifu matamshi ya Linturi

JUSTUS OCHIENG' na SIMON CIURI KINARA wa ODM Raila Odinga jana Jumapili aliwaonya wanasiasa dhidi ya kutoa matamshi ya kichochezi...

Wahubiri wahimiza kampeni za heshima

Na JUMA NAMLOLA NAIBU Rais William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga, wameonywa dhidi ya kutumia kampeni zao za kusaka kura kuzua...

Kiini cha Raila kuogopa kuitwa ‘mradi’ wa Uhuru

Na LEONARD ONYANGO KINARA wa ODM Raila Odinga anakabiliwa na kibarua kigumu kujitenga na madai kwamba yeye ni ‘mradi’ wa Rais Uhuru...