Rais Kenyatta atoa wito kwa viongozi kushirikiana kwa manufaa ya Wakenya

PSCU na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa kushirikiana kwa lengo la kuimarisha maisha ya Wakenya wakati huu ambapo...

Uhuru aonyesha Raila Ikulu

CHARLES WASONGA na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta, jana Jumapili alionyesha wazi kwamba anamuunga kiongozi wa ODM Raila Odinga kuwa...

Afueni kwa wakimbizi

Na CHARLES WASONGA WAKIMBIZI sasa wamepata afueni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada unaowapa uhuru wa kuendelea kuishi...

Majaji: Uhuru ashinda raundi ya kwanza

Na RICHARD MUNGUTI RAIS Uhuru Kenyatta ameshinda raundi ya kwanza kwenye mzozo kuhusu uteuzi wa majaji sita, baada ya Mahakama ya Rufaa...

MKF yawataka wanasiasa kuheshimu Rais Kenyatta wanaposaka kura

Na SAMMY WAWERU WAKFU wa wafanyabiashara kutoka Mlima Kenya unaofahamika kama Mount Kenya Foundation (MKF) umewataka wanasiasa...

Wapuuza Uhuru

VITALIS KIMUTAI na BENSON MATHEKA WANASIASA wamedhihirisha kuwa kamwe hawako tayari kutii amri ya Rais Uhuru Kenyatta aliyepiga marufuku...

Wakazi wataka Rais aepuke siasa za urithi

Na KNA WAKAZI wa Nyeri, sasa wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta kujishughulisha na jinsi Wakenya watakavyomkumbuka baada ya kustaafu badala...

Kauli za Uhuru zatishia Raila

Na BENSON MATHEKA KAULI za Rais Uhuru Kenyatta kwa wafuasi wake eneo la Mlima Kenya kwenye chaguzi za 2013 na 2017, zinatishia juhudi...

Watu wa Rais waingia baridi

JUSTUS WANGA na BENSON MATHEKA BAADA ya kushindwa kwenye uchaguzi mdogo wa kiti cha eneobunge la Kiambaa, washirika wa Rais Uhuru...

Kiini cha Uhuru kuteleza nyumbani

Na BENSON MATHEKA KUSHINDWA kwa chama cha Jubilee katika uchaguzi mdogo wa eneobunge la Juja, Kaunti ya Kiambu na Wadi ya Rurii iliyo...

2022: Uhuru kujipanga upya

JUSTUS OCHIENG na RICHARD MUNGUTI RAIS Uhuru Kenyatta anakabiliwa na wakati mgumu kusukuma mikakati yake ya urithi atakapostaafu 2022,...

Rais apanga kuunda miungano ya amani

Na JUSTUS OCHIENG RAIS Uhuru Kenyatta anapania kuunda miungano ya kisiasa itakayoleta umoja nchini kuelekea katika uchaguzi mkuu wa...