Rais akiri wanasiasa waeneza Covid

Na MARY WANGARI RAIS Uhuru Kenyatta alikiri Ijumaa kuwa wanasiasa ndio wamechangia pakubwa ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona...

Taabani kwa kutisha kumuua Rais Kenyatta

Na SIMON CIURI MWANAMUME mmoja Jumatatu alifikishwa katika mahakama ya Kiambu akidaiwa kutisha kumuua Rais Uhuru Kenyatta ikiwa angepata...

MIIBA TELE MBELE YA UHURU

Na MWANGI MUIRURI JUHUDI za Rais Uhuru Kenyatta kutuliza uhasama dhidi ya mipango anayonuia kutimiza kabla ya kuustaafu hapo 2022,...

Rais akerwa na utovu wa nidhamu shuleni

Na NICHOLAS KOMU RAIS Uhuru Kenyatta ameagiza Wizara ya Elimu kuchunguza chanzo cha utovu wa nidhamu shuleni na kubuni suluhisho la...

Uhuru awatakia Wakenya heri njema 2021

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alisisitiza kuhusu umuhimu wa mchakato wa mageuzi ya Katiba unaoendelea, akisema hiyo...

Uhuru awapa Wapwani Krisimasi ya mapema

KALUME KAZUNGU na PSCU WAKAZI wa Pwani Alhamisi wamepata zawadi ya mapema ya Krismasi kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyezindua miradi...

Katiba: Uhuru, Raila kuongoza ukusanyaji sahihi

Na DAVID MWERE CHAMA cha Jubilee ambacho kiongozi wake ni Rais Uhuru Kenyatta na kile cha Orange Democratic Movement (ODM)...

Rais anavyozua taharuki kuhusu hatima yake ya kisiasa

Na BENSON MATHEKA Kauli za baadhi ya viongozi na wanasiasa kwamba Rais Uhuru Kenyatta atakuwa na nafasi ya kubaki uongozini katiba...

Mfano mbaya!

BENSON MATHEKA Na RUTH MBULA VIONGOZI wakuu nchini Alhamisi waliendelea kuwa mfano mbaya kwa kuvunja sheria na kupuuza kanuni za kuzuia...

COVID-19: Serikali kuu na zile za kaunti zakubaliana kushirikiana katika ufunguzi wa sekta mbalimbali

Na CHARLES WASONGA SERIKALI Kuu na Serikali 47 za kaunti zimekubaliana kuwahusisha magavana katika mipango yote ya kufungua uchumi,...