Corona ilipunguza kasi ya mbinu za kisasa za upangaji uzazi, asema Dkt Aman

Na CHARLES WASONGA UTUMIZI wa mbinu za kisasa za upangaji uzazi ulipungua kwa kiwango kikubwa katika Mwaka wa Kifedha wa 2020/2021...

COVID-19: Wizara yaonya wanasiasa wanaokiuka masharti

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine Wizara ya Afya imewaonya wanasiasa dhidi ya kukiuka masharti ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa hatari...

COVID-19: Himizo watu wale chakula chenye virutubisho vya kutosha

Na SAMMY WAWERU CHAKULA chenye madini na virutubisho vya kutosha kinasaidia kupunguza makali ya ugonjwa wa Covid-19. Wizara ya Afya...

COVID-19: Visa 120 vipya, wagonjwa 42 wapona na mmoja afariki

Na CHARLES WASONGA WATU 120 zaidi wamepatikana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya na kufikisha 6,190 idadi jumla ya...

COVID-19: Visa 152 vipya, 57 wapona na 4 wafariki

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU WATU 152 wamethibitishwa kuwa na virusi vya corona nchini Kenya ndani ya muda wa saa 24 zilizopita na...

COVID-19: Idadi jumla yagonga visa 2,989

Na SAMMY WAWERU WATU 127 zaidi wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya corona, idadi jumla ya wagonjwa wa Covid-19 waliothibitishwa...

COVID-19: Visa jumla ni 2,862 ambapo waliopona ni 849 huku idadi ya waliofariki ikifika 85

Na CHARLES WASONGA KULINGANA na takwimu zilizosomwa Jumatatu na Waziri Msaidizi wa Afya Rashid Aman idadi ya maambukizi mapya imekuwa...

Mtoto umri wa mwezi mmoja miongoni mwa wagonjwa 143 wa Covid-19

SAMMY WAWERU na CHARLES WASONGA MTOTO mwenye umri wa mwezi mmoja ni miongoni mwa wagonjwa waliothibitishwa Jumamosi Waziri Msaidizi wa...

COVID-19: Wagonjwa 25 wapya visa jumla nchini Kenya vikifika 912

Na CHARLES WASONGA WATU 25 zaidi wamepatikana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya ndani ya saa 24 zilizopita na kufikisha 912 idadi...