Ureno wafichua kikosi cha wanasoka 26 watakaotegemewa kuhifadhi taji la Euro

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Fernando Santos amefichua kikosi cha wanasoka 26 watakaotegemewa na timu ya taifa ya Ureno kwenye fainali zijazo...

Juventus wakabwa koo na Verona katika Serie A

Na MASHIRIKA JUVENTUS walilazimishiwa na Hellas Verona sare ya 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Italia (Serie A) iliyowakutanisha...

Ronaldo arejea ugani kwa matao ya juu baada ya kupona Covid-19

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alitokea benchi na kufunga mabao mawili yaliyosaidia Juventus kupepeta Spezia 4-1 katika Ligi Kuu ya...

Wenger amtunuka sifa chipukizi Kylian Mbappe

Na CHRIS ADUNGO KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema kwamba chipukizi Kylian Mbappe ndiye aliye na uwezo wa kuendeleza...

Ronaldo anavyompepesa Miss Bum Bum!

Na CHRIS ADUNGO JAPO Cristiano Ronaldo anahusiana kimapenzi na kipusa Georgina Rodriguez, nyota huyo wa Juventus ameanza kumnyemelea...

Zawadi ya bathdei ya Ronaldo ni gari la Sh14.9 milioni

Na GEOFFREY ANENE MWANASOKA tajiri duniani Cristiano Ronaldo alikuwa na siku yake ya kuzaliwa ya kukata na shoka mnamo Februari 5....

Messi aibuka mchezaji bora kwa mara ya sita

Na MASHIRIKA PARIS, Ufaransa LIONEL Messi wa klabu ya Barcelona ndiye mshindi wa Ballon d'Or kwa mwaka huu wa 2019, hii ikiwa mara...

REKODI? Ronaldo alenga kuvunja rekodi ya dunia ya ufungaji bora katika soka ya wanaume

Na MASHIRIKA NYOTA Cristiano Ronaldo ameahidi anatia zingatio katika kuvunja rekodi ya dunia ya ufungaji bora katika soka ya wanaume...

RONALDO MUUAJI! Ureno yaipiga Lithuania 5-1

Na MASHIRIKA VILNIUS, Lithuania MSHAMBULIAJI matata Cristiano Ronaldo alipachika wavuni mabao manne na kuisaidia Ureno kuibuka na...

Mkombozi Ronaldo aibeba Ureno hadi fainali ya Nations League

Na MASHIRIKA PORTO, Ureno CRISTIANO Ronaldo alipachika mabao matatu na kusaidia Ureno kubwaga Uswizi 3-1 na kutinga fainali ya Ligi...

Ajax yaipepeta Juventus, yatinga nusu-fainali Klabu Bingwa Barani Ulaya

Na MASHIRIKA TURIN, Italia Hata baada ya kupuuzwa kwa kiasi kikubwa Jumanne usiku, vijana Ajax Amsterdam walitoka nyuma na kuibuka na...

Ronaldo ala sifa kuokoa Juventus dhidi ya Ajax dimbani

Na MASHIRIKA AMSTERDAM, Uholanzi KOCHA wa Juventus, Massimiliano Allegri alimmiminia sifa tele mvamizi nyota Cristiano Ronaldo akimtaja...