Saburi kusalia ODM wenzake wakihepa

Na WAANDISHI WETU NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kilifi, Bw Gideon Saburi ametangaza atabaki katika Chama cha ODM anapopanga kuwania ugavana...

Mahakama yamwachilia Saburi

Na PHILIP MUYANGA NAIBU Gavana wa Kilifi, Bw Gideon Saburi ameachiliwa huru kwa dhamana ya Sh200,000 pesa taslimu au dhamana ya...

Saburi atupwe jela miaka 10 – Uhuru

NA MARY WANGARI RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne amesema kuwa angependa kuona Naibu Gavana wa Kilifi Gideon Saburi akisukumwa jela miaka 10...

Saburi kulala ndani hadi Alhamisi

Na PHILIP MUYANGA NAIBU Gavana wa Kilifi Gideon Saburi, ataendelea kukaa kizuizini katika kituo cha polisi cha Port jijini Mombasa hadi...

Saburi akamatwa baada ya kupona corona

Na MOHAMED AHMED NAIBU Gavana wa Kilifi, Gideon Saburi, alikamatwa Ijumaa na maafisa wa DCI katika hospitali kuu ya Pwani, siku moja tu...