CORONA: Kanisa lashangaza kuendea sadaka katika nyumba za washirika

Na STEPHEN MUNYIRI KUTOKANA na hatua ya serikali kupiga marufuku ibada za Jumapili kote nchini kufuatia mkurupuko wa virusi vya corona...

Kioja mke kutoa gari la mzee sadaka

Na BENSON MATHEKA MALAA, Machakos KULITOKEA kizaazaa mtaani hapa buda mmoja alipotisha kuwaita polisi kumkamata mkewe na pasta wake...

Mwizi aliyekosa sadaka ya kuiba kanisani awarai waumini wamuombee

NA WAIKWA MAINA WAKAZI eneo la Engineer, Kaunti ya Nyandarua, wameshangazwa na kisa cha mwizi ambaye aliacha barua yenye ujumbe wa...

ONYANGO: Tangatanga wasionewe, sote hutoa hela chafu kanisani

Na LEONARD ONYANGO KWA takribani miezi miwili sasa kumekuwa na mjadala mkali kuhusu ikiwa makanisa yanafaa kukubali au kukataa michango...

Serikali ikate fungu la kumi kwenye mishahara ya waumini – Askofu

DAILY MONITOR Na PETER MBURU MHUBIRI mmoja kutoka Kampala, Uganda ametoa pendekezo lisilo la kawaida, kuwa serikali iwe ikiwakata waumini...

Gunia la miraa latolewa kanisani kama sadaka

Na LEAH MAKENA MUTUATI, MERU Polo wa eneo hili alishangaza waumini wa kanisa moja kwa kupeleka gunia la miraa kanisani kama sadaka ya...

Kalameni afukuzwa kanisani kwa kulemewa kutoa sadaka na fungu la kumi

Na LEAH MAKENA MUTHAMBI, CHOGORIA POLO wa hapa alijipata pabaya pale jina lake lilipoondolewa kwenye sajili ya washirika wa kanisa...