Wafanyakazi wa Safaricom motoni kwa kudai Sh300m kilaghai

Na RICHARD MUNGUTI WAFANYAKAZI wawili wa kampuni ya Safaricom Jumatatu walishtakiwa kwa kudai malipo ya Sh300 milioni kwa njia ya...

Bob Collymore kuondoka Safaricom 2020

Na BERNARDINE MUTANU Safaricom imerefusha kandarasi ya Afisa Mkuu Mtendaji Bob Collymore kwa mwaka mmoja. Kampuni hiyo imesema lengo...

Safaricom ilivyojiimarisha kifedha

Na BERNARDINE MUTANU FAIDA ya kampuni ya Safaricom baada ya kutozwa ushuru imeimarika kwa asilimia 14.7 hadi Sh63.4 bilioni. Faida...

Euronuts, Barcelona Ladies mabingwa wa Chapa Dimba na Safaricom

Na JOHN KIMWERE  BINGWA mtetezi kwenye michezo ya Chapa Dimba na Safaricom Makala ya Eneo la Kati, Euronuts, na Barcelona Ladies...

Fuliza sasa yabisha kwa soko la kimataifa

Na BERNARDINE MUTANU Safaricom imetangaza mpango wa kueneza huduma yake mpya ya Fuliza, itumiayo M-Pesa, kwa mataifa sita...

Airtel na Telkom zaungana kuzima ukiritimba wa Safaricom

Na BENSON MATHEKA KAMPUNI za Airtel Kenya na Telkom Kenya Ijumaa ziliungana ili kuimarisha hudumua zao za mawasiliano ya simu, data na...

Yaibuka Wakenya tayari washakopa Sh6.2 bilioni kwa Fuliza

VICTOR JUMA na BENSON MATHEKA WATEJA wa kampuni ya Safaricom walikopa Sh6.2 bilioni kupitia huduma mpya ya kukopa pesa ya Fuliza katika...

Lindeni watoto dhidi ya hatari za intaneti – Safaricom

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom imewashauri washikadau kuwalinda watoto dhidi ya hatari inayotokana na...

Fuliza ya Safaricom kuwezesha wasio na hela kuzituma kupitia M-Pesa

Na BERNARDINE MUTANU WATUMIZI wa M-Pesa sasa wanaweza kununua bidhaa au kutuma pesa wakiwa hawana pesa katika akaunti zao za...

Serikali kuchunguza kukatika kwa huduma za M-Pesa

Na LEONARD ONYANGO WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) Joe Mucheru ameagiza Mamlaka ya mawasiliano (CA) kushirikiana na...

Safaricom yawafaa wanawake wajawazito

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya kaunti ya Lamu imeingia kwenye mkataba wa maelewano (MoU) kati yake na wakfu wa Safaricom ili kujenga nyumba...

Safaricom yazidi kupaa

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imeendelea kutamba baada ya kupata ongezeko la faida la asilimia 20.22 kwa miezi...