NASAHA ZA RAMADHAN: Tumeingia katika kipindi cha lala salama, tusilegeze kamba

Na SHEIKH MOHAMED KHALIFA KWA mapenzi ya Mwenyezi Mungu tumebakisha siku zisizozidi tano. Huu ni ule muda ambao kama ni kwenye mchezo...

COVID-19: Mara hii hakuna mikusanyiko sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO BAADA ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waumini wa dini ya Kiislamu hufanikisha kukamilika kwa mwezi huo kwa...

NASAHA: Wanawake waliopewa udhuru Ramadhan na wanachotakiwa kufanya

Na MISHI GONGO RAMADHAN ni Mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiislamu. Funga au Saumu katika mwezi huo ni nguzo ya nne katika dini...

Ramadhani yaanza bila sherehe za kawaida

Na MOHAMED AHMED WAUMINI wa dini ya Kiislamu kote nchini, wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi wa Ramadhani leo Jumamosi bila shamrashamra...

AFYA: Kitunguu saumu kina faida zozote kiafya?

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KITUNGUU saumu ni jamii ya vitunguu na htumika kama kiungo katika mboga na vilevile katika...

RAMADHANI: Saumu huwakinga wanaofunga dhidi ya maasia na machafu

Na KHAMIS MOHAMED FUNGA ni Kinga. Ni kinga itakayo kinga Mja na moto wa jahanamu, itamkinga mwenye kufunga dhidi ya madhambi, maovu na...

RAMADHANI: Mambo yanayoweza kuharibu saumu

Na MOHAMED KHAMIS TUNAPOINGIA siku ya sita katika ibada ya saum mwezi huu wa Ramadhan, inawezekana kuna baadhi yetu ambao wanajiunga tu...