SENSA: Kuna wakulima milioni 6.4 pekee nchini

Na DIANA MUTHEU Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu lakini kulingana na ripoti moja, kati ya watu milioni 47.9  nchini, ni milioni...

SENSA: Wakenya milioni 7 hawajasoma

Na DIANA MUTHEU WATU 7.1 milioni hawajawahi kuhudhuria shule hata siku moja, ripoti moja imeeleza. Kulingana na matokeo ya Sensa ya...

SENSA: Simu nyingi nchini zinamilikiwa na wanawake

Na DIANA MUTHEU WANAWAKE wengi nchini Kenya wana simu za mkono kuliko wanaume, ripoti iliyoandaliwa na Shirika la Takwimu Nchini (KNBS),...

SENSA: Kina mama 180,000 hujifungulia nyumbani

Na PETER MBURU LICHA ya mpango wa serikali wa afya kwa wote na kuondoa mfumo wa kulipisha kina mama wanaotafuta huduma za kujifungua...

SENSA: Walemavu wengi ni wanawake

Na PETER MBURU WANAWAKE wengi wako na ulemavu ikilinganishwa na wanaume, kulingana na ripoti ya sensa iliyofanywa 2019. Ripoti hiyo...

SENSA: Wakenya 20,000 hulala nje penye baridi kila siku

Na PETER MBURU WATU wapatao 20,101 hulala nje penye kibaridi kila siku kwa kukosa makao, kulingana na takwimu zilizotolewa na Shirika la...

SENSA: Wakenya 14,000 wana umri wa zaidi ya miaka 100

Na PETER MBURU KENYA ilikuwa na wazee 14,040 wanaozidi umri wa miaka 100 kufikia Agosti 2019, wakati hesabu ya watu kote nchini...

TAHARIRI: Idadi ya watu isizidi maendeleo ya nchi

Na MHARIRI KILA mara ripoti kuhusu takwimu za watu nchini zinapotolewa, suala linaloibuka miongoni mwa wananchi wengi ni kuhusu...

Matokeo ya sensa kaunti yangu yanaogofya – Lonyangapuo

Na Oscar Kakai GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Profesa John Lonyangapuo amepuuzilia mbali matokea ya sensa ya kaunti hiyo akidai...

JAMVI: Matokeo ya sensa kuzaa miungano mipya ya kisiasa

Na BENSON MATHEKA Matokeo ya sensa, yaliyotolewa Jumatatu wiki hii, yameanza kuzua joto huku wanasiasa wakitilia shaka idadi ya wakazi...

Kiraitu, Linturi kulinda Meru ‘isivamiwe’ kisiasa

Na DAVID MUCHUI VIONGOZI wa kisiasa katika Kaunti ya Meru wameapa kulinda eneo hilo dhidi ya ‘uvamizi’ wa wapinzani wao, huku...

MBURU: Viongozi watakao wakazi wazaane wamejaa ubinafsi

Na PETER MBURU MATOKEO ya sensa yaliyotolewa na serikali wiki hii yameanika hila za baadhi ya viongozi wa kisiasa nchini tena, ambao...