Masuala ya SGR, ardhi kuendelea kushamiri katika kampeni

NA VALENTINE OBARA MZOZO kuhusu usafirishaji mizigo kwa reli ya SGR, na mizozo ya tangu jadi kuhusu umiliki wa mashamba, inatarajiwa...

SGR: Jinsi Wachina walivyozima Uhuru

NA PHILIP MUYANGA RAIS Uhuru Kenyatta alishindwa kutimiza ahadi aliyotoa kwa Wakenya mnamo 2018 kuwa angetoa kwa umma kandarasi kati ya...

CHARLES WASONGA: SGR kuelekea Malaba itapiga jeki biashara

Na CHARLES WASONGA TANGAZO la Shirika la Reli nchini (KRC) kwamba huduma za treni kati ya Mombasa na miji ya Kisumu na Malaba zitaaza...

Abiria kutumia reli kutoka Mombasa hadi Malaba kuanzia Novemba

MACHARIA MWANGI na ERIC MATARA SAFARI kati ya Mombasa na Malaba mpakani mwa Kenya na Uganda, kwa kutumia treni, zitaanza Novemba, mwaka...

Mzee aliyerushwa nje ya SGR apatikana hai siku 4 baadaye

Na PAUL WAFULA MZEE aliyerushwa nje ya gari moshi kwenye reli ya kisasa (SGR) Jumanne iliyopita alipatikana akiwa hai jana baada ya...

Safari za Madaraka Express zaleta matumaini Pwani baada ya kiwingu cheusi cha Covid-19

Na CHARLES WASONGA ILIKUWA ni furaha ya aina yake kwa abiria Jumatatu alasiri baada ya kuwasili katika kituo cha garimoshi cha Miritini,...

SGR ya Kisumu kukamilika 2022

NA RICHARD MAOSI WAZIRI wa Uchukuzi James Macharia siku ya Jumanne aliongoza zoezi la kukagua, awam ya pili ya Reli ya Kisasa(SGR)...

Bandari yapandisha joto la siasa

JUMA NAMLOLA na WACHIRA MWANGI HATUA ya Serikali kuhamisha shughuli nyingi za bandari hadi miji ya Nairobi na Naivasha, imezua joto la...

Sababu za mbunge wa Mvita kupinga agizo la usafirishaji kontena kutumia SGR

Na FARHIYA HUSSEIN MBUNGE wa Mvita, Kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amepinga agizo la serikali la kutumia reli mpya na ya...

Wanaharakati na viongozi Mombasa wapinga agizo kontena zote zisafirishwe kwa SGR

Na WINNIE ATIENO BAADHI ya viongozi wa Kaunti ya Mombasa na wanaharakati wamepinga agizo la serikali kwamba kontena zote kutoka bandari...

MADENI: Uchumi wa Kenya katika hatari ya kuzama

Na DAVID MWERE MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama...

SGR: Mizigo imeleta faida, abiria wamepungua – Ripoti

Na ALLAN OLINGO BIASHARA ya kubeba mizigo kutumia reli mpya (SGR) ililetea nchi mapato ya Sh7.54 bilioni ikibeba tani 3.25 za mizigo kwa...