China ilivyomfunga Uhuru mdomo

PAUL WAFULA Na VINCENT ACHUKA CHINA ilizuia Rais Uhuru Kenyatta kutangazia Wakenya yaliyomo kwenye kandarasi ya ujenzi wa reli ya SGR...

Wataka waziri aagizwe kutoa mkataba wa SGR

Na PHILIP MUYANGA WACHUKUZI wanataka waziri wa Uchukuzi James Macharia aagizwe kuweka kortini mkataba wa makubaliano baina ya serikali...

Macharia aamriwa kufika mbele ya maseneta

Na CHARLES WASONGA MASENETA wamemtaka Waziri wa Uchukuzi James Macharia kufika mbele yao ndani ya wiki mbili kujibu maswali kuhusu...

Wanaharakati wazimwa kufanya kikao kuhusu SGR

Na ANTHONY KITIMO MKUTANO uliotarajiwa kuhutubiwa na wanaharakati Yash Pal Ghai, David Ndii na Maina Kiai mjini Mombasa ulitibuka...

Rais Kenyatta anazindua awamu ya 2A ya SGR kutoka Nairobi hadi Naivasha

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta leo Jumatano anazindua rasmi awamu ya 2A ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Nairobi hadi Naivasha...

Wapwani walalama kuchezewa na serikali

Na MOHAMED AHMED SERIKALI inaonekana kucheza mchezo wa paka na panya na washikadau wa shughuli za Bandari ya Mombasa kuhusiana na suala...

Hatimaye Joho aingilia mzozo wa kusafirisha mizigo SGR

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa, Hassan Joho sasa amejitokeza kutetea wenye biashara wanaotegemea usafirisha mizigo kwa malori kutoka...

Joho sasa akutana na Matiang’i kuzima hasira kuhusu SGR

Na CECIL ODONGO SERIKALI jana iliwahakikishia wakazi wa Pwani kwamba agizo la usafirishaji wa mizigo kupitia reli ya kisasa ya SGR kwa...

Ghadhabu Pwani agizo la SGR likianza

Na MOHAMED AHMED AGIZO la Serikali kuwa kuanzia Jumatano mizigo yote kutoka Bandari ya Mombasa iwe ikisafirishwa kwa reli ya SGR hadi...

SGR: Amri ya serikali kuathiri uchumi wa Mombasa

Na ANTHONY KITIMO BIASHARA nyingi katika eneo la Pwani zitaathirika kufuatia amri ya serikali kwamba mizigo yote kutoka Mombasa hadi...

NLC na KR lawamani kukosa kufidia wakazi Sh5.8b

Na CHARLES WASONGA WAKUU wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) na Shirika la Reli Nchini (KR) Jumanne walielekezewa lawama na wabunge...

Mzaha wa kupeleka mizigo Nairobi na kuirejesha Mombasa

Na ANTHONY KITIMO WAFANYABIASHARA jijini Mombasa wanaoagiza bidhaa kutoka ng’ambo, wamelalamikia hatua ya serikali kuwaagiza...