SHANGAZI SIZARINA: Mbona kila ninayemtongoza anikataa?

Mbona kila ninayemtongoza anikataa? Kusema ukweli nahisi kama nimelaaniwa, kwani kila ninapotongoza huwa nakataliwa. Nifanyeje kwani...

SHANGAZI: Tangu nimshauri tukapimwe, mpenzi ananihepa

NA SHANGAZI SIZARINA Hujambo Shangazi? Nimekuwa na mwanamke mpenzi wangu kwa karibu mwaka mmoja na nimetosheka kwamba ndiye anayefaa...

SHANGAZI: Mamangu achukia mume wangu ataka nimtaliki

NA SHANGAZI SIZARINA  Hujambo Shangazi. Nimeolewa kwa miezi kadhaa sasa. Juzi tulikosana na mume wangu lakini tukasuluhisha tofauti...

SHANGAZI: Mke wa mpenzi wangu ananitishia maisha, nifanyeje?

NA SHANGAZI SIZARINA Hujambo Shangazi? Nina umri wa miaka 20 na nina uhusiano na mwanamume ambaye alikuwa ameoa lakini akatengana na mke...

SHANGAZI: Nimeoa, yeye pia ameolewa, anataka tuwe wapenzi

Na SHANGAZI Hujambo shangazi? Nilifungua biashara hivi majuzi na nimeajiri wafanyakazi kadhaa, wanaume kwa wanawake. Nilishangaa...

SHANGAZI: Nina mke ila namtamani sana kisura fulani afisini

NA SHANGAZI SIZARINA Hujambo shangazi? Nimeoa kwa miaka miwili sasa. Hata hivyo, nimependana na mwanamke fulani tunayefanya kazi pamoja....

SHANGAZI: Akiwa mbali natamani burudani, akikaribia simtaki

NA SHANGAZI SIZARINA Hujambo shangazi? Mimi nimeolewa na nina shida kidogo. Nimekuwa nikipandwa na hamu ya kurusha roho na mume wangu...

SHANGAZI AKUJIBU: Nilimuacha nilipomfumania akiwa na dadangu

Kwako shangazi. Nililikuwa nimeaolewa lakini nikamuacha mume wangu baada ya kumfumania ndani ya nyumbani yetu akiwa na dada yangu. Huu sasa...

SHANGAZI: Mpenzi hajawahi kuniambia kuwa ni mke wa mtu

Na SHANGAZI SIZARINA Shangazi, nimependana na mwanamke fulani kwa mwaka mmoja sasa. kuna mwanaume amekuwa akinipigia simu mara kwa mara...

SHANGAZI: Hasemi nami tena tangu nikatae kumburudisha kitandani

Naomba ushauri wako Shangazi. Nilipiga nambari fulani ya simu kimakosa na ikapokewa na kijana. Nilipomwelezea kuwa niliipiga kimakosa...

SHANGAZI: Iweje wananishuku ilhali ‘mali’ nimetia kufuli?

Shikamoo shangazi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 19. Kuna wanaume wengi ambao wamekuwa wakinitaka lakini nimewakataa kwa sababu...

SHANGAZI AKUJIBU: Nilienda ng’ambo kurudi nikapata amesonga

Na SHANGAZI SIZARINA Vipi shangazi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21 na nimekuwa na uhusiano na mwanamume fulani kwa miaka saba....