WANAUME KAMILI

Na LEONARD ONYANGO WALIOKUWA majaji wakuu Willy Mutunga na David Maraga, wamejitokeza kuwa miongoni mwa Wakenya wachache walio na...

WANDERI KAMAU: Hukumu ya Sarkozy isaidie Waafrika kufunguka macho

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO ya nguzo zilizozipa utambulisho jamii na tawala za kale, ni aina ya adhabu zilizotolewa kwa wale waliokiuka...

BENSON MATHEKA: Wabunge wasitunge sheria kulenga mirengo ya kisiasa

Na BENSON MATHEKA WABUNGE watakapojadili mswada unaopendekezwa wa kuharamisha kampeni ya mahasla, wanastahili kufahamu kuwa huenda...

Pigo kwa Bunge huku mahakama ikizima sheria 23

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA Kuu imebatilisha Sheria 23 zilizopitishwa na Bunge la Taifa bila mchango wa seneti, ikisema zimekiuka...

WASONGA: Sheria itekelezwe bila kujali hadhi au tabaka

Na CHARLES WASONGA KATIBA pamoja na sheria mbalimbali zinapasa kuzingatiwa na Wakenya wote pasina kujali hadhi au mamlaka katika...

SHERIA: Wosia wa maandishi una nguvu kuliko ule wa matamshi

Na BENSON MATHEKA LEO katika makala haya ninataka kuangazia kuhusu aina za wosia zinazotambuliwa katika sheria ya urithi ya...

SHERIA: Huwezi kumzuia kuoa au kuolewa akitimiza umri

Na BENSON MATHEKA LOISE , msomaji kutoka Kuria anataka kujua ikiwa ni makosa kwa mzazi kumkataza binti yake kuolewa katika ndoa ya...

SHERIA: Njia za mkato kufunga ndoa zitakutia motoni

Na BENSON MATHEKA IKIWA wewe ni kiongozi wa kidini, unafaa kuwa mwangalifu sana usifungwe jela kwa kusimamia au kufungisha harusi bila...

SHERIA: Una haki kukataa mchumba wa kulazimishiwa

Na BENSON MATHEKA WASOMAJI kadhaa wameniuliza iwapo inafaa wazazi kuwachagulia wanao wachumba. Kulingana na Beatrice Kagwiria kutoka...

SHERIA: Sheria haitambui tamaduni za kurithi wajane

Na BENSON MATHEKA BAADHI ya jamii za humu nchini huwa zinaendeleza utamaduni wa kurithi wajane kama ilivyodhihirika wazee walipomtaka...

SHERIA: Utaratibu wa kisheria wa ndoa ya kitamaduni

Na BENSON MATHEKA NDOA ya kitamaduni kama aliyofunga Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru inatambuliwa katika sheria ya ndoa ya Kenya na...

SHERIA: Sheria hairuhusu kuoa au kuolewa kabla ya talaka

Na BENSON MATHEKA JE, ni hatua gani za kisheria zinazofaa kuchukuliwa mtu akioa mke wa pili kabla ya kumtaliki mke wa kwanza au mke...