SHERIA: Tatizo la ulaghai wa wahubiri katika usajili wa ndoa

Na BENSON MATHEKA JAMES Wekesa kutoka Chwele anataka kujua hatua za kisheria ambazo kiongozi wa kidini anafaa kuchukuliwa kwa kupotosha...

SHERIA: Wahitaji idhini ya mkeo kushiriki naye tendo la ndoa

Na BENSON MATHEKA JE, mume akishiriki tendo la ndoa na mkewe bila idhini yake inaweza kuchukuliwa kama tendo la ubakaji ? Na je, sheria...

SHERIA: Mume au mke ana haki ya kuomba talaka

Na BENSON MATHEKA “NI nani kati ya mume na mke anafaa kuwasilisha kesi ya talaka kortini,” anauliza Joseph Kariuki akiwa Lamu. Naye...

SHERIA: Ndoa muungano wa hiari ila sharti sheria ifuatwe

Na BENSON MATHEKA JOYCE Adhiambo kutoka Migori, Joseph Kaingu kutoka Kilifi na Harrison Kamau kutoka Kagio, Kirinyaga, wanataka kujua kwa...

SHERIA: Ukioa wawili huwezi kubadilisha ndoa iwe ya mke mmoja

Na BENSON MATHEKA MSOMAJI Joyce Kariithi wa Embu anataka nifafanue jambo kuhusu ndoa za wanawake wengi, yaani ndoa ambayo mwanamume...

TAHARIRI: Sheria katu si tatizo, muhimu utekelezaji

NA MHARIRI SHERIA mpya alizoidhinisha rais Uhuru Kenyatta saa chache kabla ya Mwaka Mpya, ni ishara ya kujitolea kwa serikali kuwa na...

USAWA WA KIJINSIA: Shinikizo za utekelezaji wa Sheria ya Thuluthi Tatu zachacha

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Haki na Masuala ya Kisheria (JLAC) inaunga mkono shinikizo za wabunge wanawake za kutaka bunge...

Leba Dei: Wafanyakazi waitaka bunge kupuuza mageuzi ya sheria za leba

Na BENSON MATHEKA VIONGOZI wa vyama vya wafanyakazi na waajiri, Jumanne walitumia sherehe za Leba Dei za mwaka huu kuitaka serikali...

LSK yakerwa na mazoea ya maafisa wa serikali kudharau sheria

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha Wanasheria Kenya (LSK), Alhamisi kilisikitishwa na hatua ya maafisa wa  serikali ya kudharau na kupuuza...

TAHARIRI: Polisi waheshimu amri za mahakama

Na MHARIRI Hatua ya Serikali kuendelea kumzuilia wakili na mwanasiasa Miguna Miguna katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo...

Mapuuza ya sheria huleta ufukara, aonya Maraga

Na BENSON MATHEKA JAJI Mkuu (CJ) David Maraga amesema kwamba kupuuzwa kwa utawala wa sheria na ufisadi barani Afrika kumechangia...

TAHARIRI: Malipo ya juu mahakamani yataua demokrasia

[caption id="attachment_1315" align="aligncenter" width="800"] Bi Wavinya Ndeti aliyewasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Gavana wa...