Siku Mudavadi, Kalonzo ‘walitekwa nyara’ na wanakijiji

Na LEONARD ONYANGO VINARA wa One Kenya Alliance (OKA) sasa wanadai walitekwa nyara na kulazimishwa kuchangia fedha za matibabu kwa...

Matumaini Achani huenda akapeperusha UDA Kwale

Na SIAGO CECE NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kwale, Bi Fatuma Achani, amepata nafasi bora ya kushinda tiketi ya Chama cha United Democratic...

Raila ndiye baba wa ugatuzi, apewe urais 2022 – Junet

Na SAMMY WAWERU BW Raila Odinga ndiye “baba” wa ugatuzi Kenya na serikali ikiwa mikononi mwake itakuwa salama. Hii ni kulingana...

Mbunge ataka fujo za kisiasa zichunguzwe kwa kina, akidai kuna wanaopanga njama mikutano yao ivurugwe

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kathiani, Robert Mbui ameitaka idara ya polisi (NPS) kuchunguza kwa kina mashambulizi yanayoshuhudiwa katika...

Wajumbe wa Ford-K Bungoma waapa kuchagua Wetangula tena

Na BRIAN OJAMAA MAAFISA wa Ford Kenya katika Kaunti ya Bungoma wamesema kuwa watamchagua Seneta wao Moses Wetang’ula kama kiongozi wa...

LEONARD ONYANGO: Ruto, Raila watumie mitandao ya kijamii kusema na vijana

Na LEONARD ONYANGO BAADA ya kuwania urais mara tano bila mafanikio, kiongozi mpya wa Zambia Rais Hakainde Hichilema aliamua kubadili...

WANDERI KAMAU: Changamoto tele Mlima ukijaribu kuja pamoja

Na WANDERI KAMAU JUHUDI za kuliunganisha eneo la Mlima Kenya ielekeapo 2022 zinaonekana kukumbwa na changamoto tele, wadadisi wakisema...

Rais awacheza kama Moi 2002

Na IBRAHIM ORUKO MBINU anazotumia Rais Uhuru Kenyatta kuhusu siasa za urithi muda wake wa urais ukifika kikomo mwaka ujao, ni marudio ya...

Amri ya kusitisha mikutano yapoza joto la kisiasa

Na WAANDISHI WETU IDADI kubwa ya viongozi wa kisiasa wikendi walitii amri ya Rais Uhuru Kenyatta kusitisha mikutano ya hadhara.Tofauti...

Msimu wa utapeli waanza

Na BENSON MATHEKA WANANCHI wameombwa kuwa macho dhidi ya kutapeliwa na wanasiasa ambao wameanza kuwatembelea mashinani kwa nia ya...

2020: Demokrasia ilivyodorora Afrika kupitia chaguzi mbalimbali

Na LEONARD ONYANGO MATAIFA tisa yalifanya uchaguzi wa urais mwaka huu barani Afrika licha ya kuwepo kwa janga la virusi vya corona...

Vyama vya siasa katika mbio za kutii masharti

Na KENNEDY KIMANTHI VYAMA vya kisiasa nchini viko mbioni kuhakikisha kuwa vimetimiza kanuni zote zilizo kwenye Katiba ili kutozuiwa...