Binti akasirisha baba kwa kuamua kumpinga kisiasa

Na DAILY MONITOR HUKU joto la uchaguzi likiendelea kupanda nchini Uganda, mwanasiasa mmoja amemuasi bintiye aliyetangaza azma ya...

HAMNITISHI: Joho awajibu wakosoaji wake

MOHAMED AHMED na VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Hassan Joho amepuuzilia mbali viongozi ambao wamekuwa wakimkosoa kwa hatua...

Uhuru aundiwa chama kipya?

Na WANDERI KAMAU IMEIBUKA kwamba mabwanyenye katika eneo la Mlima Kenya wanapanga kukitumia chama cha PNU kuwa “dau mpya” la eneo...

Siasa zateka misaada

Na BENSON MATHEKA UHASAMA wa kisiasa kati ya Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga, ulichukua mkondo wa aibu jana...

Ishara Naibu Rais anakwepa vikao vya Rais

Na CHARLES WASONGA MASWALI yameibuka kuhusu sababu za Naibu Rais William Ruto kukosa kuhudhuria kikao cha Baraza la Kitaifa la Usalama...

Dkt Ruto ashauri maombolezo na mazishi ya Moi yasiingizwe siasa chafu

Na SAMMY WAWERU NAIBU Rais Dkt William Ruto amesema safari ya kumpumzisha Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi inafaa iwe tulivu na...

Ni kubaya lakini msinilaumu – Uhuru

Na GAKUU MATHENGE na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta amekiri kwamba hali si shwari katika utawala wake lakini akajiondolea lawama...

Rais Kenyatta akariri atastaafu ifikapo mwaka 2022

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta amekariri Jumatano kwamba atastaafu muhula wake wa pili utakapofika tamati huku akipuuzilia mbali...

‘Raila, Kalonzo wafaa kustaafu’

Na JUSTUS WANGA ALIYEKUWA Seneta wa Kaunti ya Machakos Johstone Muthama sasa anasema wakati umefika kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila...

Viongozi wamlaumu Ruto kuingilia siasa mashinani

Na BARNABAS BII na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto, anakabiliwa na uasi baridi kutoka kwa viongozi wa mashinani katika ngome yake...

MWITHIGA WA NGUGI: Wakenya hawajavuna matunda ya ugatuzi miaka sita baadaye

Na MWITHIGA WA NGUGI NI miaka tisa sasa tangu Wakenya wakumbatie mfumo wa utawala wa ugatuzi baada ya kupitisha Katiba Mpya Mwaka...

Simhitaji Raila 2022 – Kalonzo

Na CAROLYNE AGOSA KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka, amesema hahitaji usaidizi wa kinara wa ODM, Raila Odinga, ili kushinda kiti cha...