Kenya sasa yaanza kujitengenezea silaha

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta jana alizindua kiwanda cha kutengeneza bunduki katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu. Rais...

Afisa wa GSU aangamiza wenzake wawili kwa risasi na hatimaye kujiua Trans-Nzoia

Na SAMMY WAWERU HALI ya huzuni imetanda katika kambi ya maafisa wa polisi wa kukabiliana na ghasia (GSU) ya Chepchoina, Kaunti ya...

Maafisa wa kaunti motoni kwa kupatikana na silaha

Na RICHARD MUNGUTI WAFANYAKAZI wawili wa Kaunti ya Marsabit pamoja na raia wawili wa Ethiopia walishtakiwa jana kwa kupatikana na silaha...

Hofu ya wanavijiji kumiliki silaha kali Kapedo

FLORAH KOECH na BARNABAS BII HATUA ya baadhi ya wapiganaji kwenye mzozo unaohusisha jamii za wafugaji eneo la North Rift kumiliki silaha...

Mama adaiwa kuiba bunduki ya mlinzi wa makao ya Naibu wa Rais

Na BRIAN OCHARO POLISI anayelinda makazi ya Naibu Rais William Ruto jijini Mombasa alipoteza bunduki yake katika hali ya kutatanisha,...

Juhudi za kufua panga kuwa majembe barani Afrika

Na KEN WALIBORA akiwa Addis Ababa, Ethiopia KENYA imejitolea mhanga kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza vita na silaha barani Afrika...

Wahalifu Kiandutu wapewa ilani ya saa 24 kusalimisha bunduki walizo nazo

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kiandutu, mjini Thika, wamepewa muda wa saa 24 pekee kusalimisha bunduki walizo nazo. Kamanda...

Wabunge watishia kuchochea wakazi wajihami kwa silaha

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wanne kutoka Rift Valley, wametisha kuwachochea wakazi wa Elgeyo Marakwet kuchukua sheria mikononi mwao kwa...

Polisi wanaowasaidia wezi wa mifugo wapokonywa silaha

Na MWANGI NDIRANGU POLISI wa akiba katika baadhi ya sehemu za Kaunti ya Laikipia wamepokonywa silaha zao na serikali kwa kutuhumiwa...

Mzee Wanjigi hafai kuamriwa afike kortini – Mawakili

[caption id="attachment_2582" align="aligncenter" width="800"] Kutoka kushoto: Mawakili Nelson Havi, James Orengo na John Khaminwa...

Manusura akejeli Trump kwa kuzembea kudhibiti umiliki wa bunduki

Na MASHIRIKA MANUSURA wa shambulio katika shule ya Parkland, Jumamosi alimlaumu Rais Donald Trump kwa kuwa na uhusiano na chama cha...