Utepetevu Kenya Power ulivyoiletea familia mahangaiko

HELLEN SHIKANDA, FAUSTINE NGILA Na SAMMY WAWERU Petronilla Muchele ni mama mwenye huzuni, huku uso wake ukieleza bayana...

Kupungua kwa thamani ya shilingi kuwaongezea mzigo watumiaji stima Desemba

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wataongezewa mzigo mkubwa wa bili za stima mwishoni mwa msimu wa sherehe za Krismasi kutokana na kodorora kwa...

Aliyetarajia kuingia kidato cha kwanza auawa na stima

Na George Munene MWANAFUNZI aliyefanya Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) mwaka huu na aliyetarajiwa kujiunga na Kidato cha Kwanza...

Wanaounganishia raia umeme kwa njia za mkato waonywa

Na OSCAR KAKAI WAZIRI Msaidizi wa Kawi, Bw Simon Kachapin amewaonya maafisa katika sekta ya kawi dhidi ya kujihusisha na ufisadi katika...

Stima kupotea usiku Jumatano, Alhamisi na Ijumaa

Na BERNARDINE MUTANU Huenda maelfu ya wananchi wakasalia bila umeme kwa saa kadhaa baada ya kampuni ya Kenya Power kutoa ilani ya kufunga...

Tutapunguza ada ya umeme mradi wa Olkaria ukikamilika – Serikali

Na KAZUNGU SAMUEL KAMPUNI ya kutengeneza umeme nchini, KenGen Jumatatu ilisema kuwa gharama za umeme zinatarajiwa kupungua...

UMEME KWA WOTE: Bei ghali yazidi kulemaza mpango

Na VALENTINE OBARA BI ANNE Mueni ni mfanyabiashara anayemiliki hoteli katika eneo la Burani, Kaunti ya Kwale, ambaye ameamua kutegemea...

Mkakati mpya wa kupunguza ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Ni habari njema kwa Wakenya baada ya serikali kuondoa baadhi ya ada inazotoza umeme. Hatua hiyo ni kumaanisha...

Kenya Power ichunguzwe kwa kuwapunja Wakenya – Wabunge

Na CHARLES WASONGA MHASIBU Mkuu wa serikali Edward Ouko ametakiwa kuufanyia ukaguzi mfumo ambao hutumiwa na kampuni ya kusambaza umeme...

Mvua inayonyesha kuchangia kushuka kwa ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Gharama ya umeme inatarajiwa kushuka kwa kiasi kikubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha...

Agizo picha za walaghai wa umeme zisichapishwe

Na BENSON MATHEKA POLISI wameagizwa kutochapisha au kusambaza picha za washukiwa wanaodaiwa kujifanya wafanyakazi wa kampuni ya Kenya...

Mamia ya wakazi waachwa gizani na Kenya Power msakoni Tassia

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Kenya Power imewaacha bila stima wakazi wa orofa 20 katika mtaa wa Tassia, Nairobi wakati wa operesheni...