Ni tikiti ya Shahbal, Maitha ugavana wa Mombasa

NA VALENTINE OBARA MFANYABIASHARA Suleiman Shahbal, leo Alhamisi anatarajiwa kumtangaza rasmi Bi Selina Maitha Lewa, dadaye mbunge wa...

Shahbal awapuuza wakosoaji

NA ANTHONY KITIMO MFANYABIASHARA Suleiman Shahbal, amepuuzilia mbali mahasimu wake wanaotilia shaka kama ataweza kuwa mwadilifu iwapo...

Madaktari 10 wa Mombasa kufaidika kwa mafunzo zaidi nchini Uturuki kwa juhudi za Shahbal

WACHIRA MWANGI na CHARLES WASONGA MFANYABIASHARA wa Mombasa Suleiman Shahbal amefaulu kupata nafasi zitakazowawezesha madaktari 10...

Nassir na Shahbal wabishania ‘Baba’

Na VALENTINE OBARA WANASIASA wanaopanga kushindania tikiti ya Chama cha ODM kuwania ugavana Kaunti ya Mombasa, wameanza kutetea uaminifu...

Shahbal atetea mradi wa nyumba Buxton

Na VALENTINE OBARA MFANYABIASHARA Suleiman Shahbal, anayepanga kuwania ugavana Mombasa, ameomba maseneta wasitumiwe kisiasa kukwamisha...

Shahbal apuuza ‘jeshi’ la Nassir

Na VALENTINE OBARA MFANYABIASHARA Suleiman Shahbal, anayepanga kuwania ugavana Mombasa mwaka ujao, amepuuzilia mbali hatua ya wabunge wa...

Mshirika wa karibu wa Shahbal ahamia UDA

NA MWANDISHI WETU Mwaniaji wa kiti cha Uwakilishi wa Wanawake Kaunti ya Mombasa Bi Miraj Abdullahi sasa ameachana na mshirika wake...

Kibarua kizito kwa ‘warithi’ 4 wa Joho

Na WINNIE ATIENO WANASIASA wanne wanaowania kumrithi Gavana wa Mombasa, Hassan Joho katika uchaguzi wa Agosti 2022 wameanza kuwatafuta...

JAMVI: Mradi watia doa azma ya Shahbal kuwania ugavana

Na WINNIE ATIENO SIASA za uwaniaji ugavana katika uchaguzi ujao zimechukua mkondo mpya katika Kaunti ya Mombasa, baada ya mfanyabiashara...

Shahbal ‘avuka kisiki’ katika urithi wa Joho

Na ANTHONY KITIMO Mfanyabiashara wa Mombasa, Suleiman Shahbal, ameanza mikakati ya kumrithi Gavana wa Mombasa Hassan Joho, siku chache...

Shahbal hatimaye aingia ODM

Na VALENTINE OBARA MWANASIASA Suleiman Shahbal hatimaye amejisajili rasmi kujiunga na Chama cha ODM na hivyo basi kuepuka hatari ya...

Kalonzo amrai Shahbal arejee chamani Wiper

Na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha Wiper, Bw Kalonzo Musyoka amemrushia ndoano mfanyabiashara Suleiman Shahbal ambaye amepanga...