Swazuri ajitapa huduma yake NLC imeleta ‘ufanisi mkubwa’

MOHAMED AHMED na WACHIRA MWANGI MWENYEKITI wa Tume ya Ardhi Nchini (NLC) Muhammad Swazuri amesema kuwa anamaliza awamu yake kwenye tume...

2018: Mwaka wa masaibu tele kwa Prof Swazuri

NA FAUSTINE NGILA MWAKA huu umekuwa na changamoto si haba kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Ardhi nchini (NLC) Prof Muhammad Swazuri,...

Swazuri aonywa vikali dhidi ya kuvuruga ushahidi

NA FAUSTINE NGILA SHIRIKA la Nation of Patriots Jumatatu limemuonya vikali aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Ardhi nchini (NLC) Prof...

Swazuri alilia mahakama impunguzie joto

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Prof Mohammad Swazuri Jumatano alieleza korti kwamba hajakabidhiwa...

Swazuri ang’olewa mamlakani NLC

Na CHARLES WASONGA NAIBU mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa y Ardhi (NLC) Bi Abigael Mbagaya Mukolwe ameteuliwa kuwa kaimu mwenyekiti wa tume...

Swazuri atiwa nguvuni kuhusiana na sakata ya mamilioni SGR

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) Mohammed Swazuri amekamatwa Jumamosi asubuhi dakika chache baada ya...

Yabainika viwanja viwili vya ndege havina hati

Na LUCY KILALO MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (KAA) imeagizwa kufafanua ni vipi haina hatimiliki za ardhi ya Kiwanja cha Ndege cha Manda,...

NLC yashindwa kuelezea ziliko Sh2 bilioni

[caption id="attachment_1795" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Dkt Muhammad Swazuri. Picha/...

Chanzo cha uskwota Pwani ni unyakuzi wa ardhi – Ripoti

[caption id="attachment_1795" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Dkt Muhammad Swazuri. Picha/...