Wakazi wa Thika kunufaika pakubwa ukarabati wa barabara ya kilomita 20 ukiendelea

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika na vitongoji vyake, watanufaika na ukarabati wa barabara ya kilomita 20 chini ya mpango uliofadhiliwa...

Ni idadi ndogo tu ya wanaojitokeza Thika kujisajili wawe wapigakura

Na LAWRENCE ONGARO HUKU uandikishaji wa wapigakura ukiendelea tangu uanze Jumatatu wiki hii, ni watu wachache wanaojitokeza katika kituo...

ODM yafanya uchaguzi wa wasimamizi tawi la Thika

Na LAWRENCE ONGARO HUKUn siasa za kutafuta uungwaji mkono zikiendelea kuchacha, chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimefanya...

Wito viongozi wa Mlima Kenya wajipange wawe pamoja kisauti

Na LAWRENCE ONGARO VIONGOZI wa Mlima Kenya wamehimizwa kuwa na mwelekeo mmoja wakati huu Kenya inapoelekea kuandaa uchaguzi wa mwaka wa...

Wanafunzi 94 kutoka Thika kupata ufadhili masomoni

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI kutoka familia maskini wapatao 94 katika kaunti ndogo ya Thika watanufaika na mpango wa serikali kuwasaidia...

Nyumba za kisasa kujengwa Ruiru na Thika

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Ruiru watanufaika kwa ujenzi wa nyumba 500 eneo la Majengo karibu na soko kuu la eneo hilo. Gavana wa...

Uchunguzi waanzishwa kufuatia kifo cha mfanyabiashara Thika

Na MWANGI MUIRURI IDARA ya polisi imeanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha mfanyabiashara mmoja Thika, ambapo mwili wake ulipatikana akiwa...

Mbunge wa Thika awatetea wakandarasi

Na LAWRENCE ONGARO WANANCHI wamehimizwa kutoka maoni yao kuhusu mswada wa zabuni uliowasilishwa bungeni wa mwaka 2020 na ambao...

Mbunge ahimiza vijana watumie ubunifu kujiendeleza

Na LAWRENCE ONGARO MBUNGE wa Thika Bw Patrick Wainaina alipendezwa na akaelezea kufurahishwa kwake na ubunifu uliofanywa na vijana...

Katibu anayehusika na nyumba na makazi aahidi serikali itaboresha Kiandutu

Na LAWRENCE ONGARO MPANGO wa kazi kwa vijana mitaani utazidi kuboreshwa zaidi ili kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi iliyosababishwa...

Naivas yawapa wahudumu wa afya wa Thika Level 5 vyakula na sabuni

Na LAWRENCE ONGARO WAHUDUMU wa afya katika hospitali ya Thika Level 5 wapatao 100 walipokea vyakula kutoka kwa supamaketi ya Naivas tawi...

Vijana 1,500 mjini Thika kunufaika na mpango wa serikali kuwapa ajira

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA mjini Thika watanufaika na mpango wa serikali wa kuwaajiri kazi mitaani ili wajikimu kimaisha. Mbunge wa...