KAFYU: Mji wa Thika wageuka mahame

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika walitii agizo la serikali kwa kurejea nyumbani mapema ili wasije wakakwaruzana vibaya na maafisa wa...

Marehemu Mundia akumbukwa na watu wengi Thika

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wengi wa Thika walihudhuria misa ya kumuenzi marehemu Douglas Kariuki Mundia aliyefariki wiki mbili...

Wakazi wa Thika wapata maji kwa wingi

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Landless, Thika na maeneo ya karibu wamepata afueni baada ya kuletewa maji kwa wingi katika makazi...

Thiwasco yaimarisha huduma ya usambazaji maji Thika

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Maji ya Thiwasco Water Company Ltd imeweka mikakati ya kuboresha huduma kwa wateja. Mkurugenzi mkuu wa...

Viongozi wahimizwa wamche Mungu na wawatumikie wananchi

Na LAWRENCE ONGARO VIONGOZI nchini wamehimizwa kuzingatia maendeleo na kutendea wananchi kazi badala ya siasa za kila mara. Mbunge wa...

Wazazi, watoto waelezwa njia za kufuata mkondo bora maishani

Na LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI wa makanisa wamewahimiza vijana wajiepushe na maovu na badala yake kufuata mkondo bora wa kuwa tegemeo...

Wakazi wamtaka Waititu awape huduma bora

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Thika wameikejeli serikali ya Kaunti ya Kiambu kwa kuzembea katika utendakazi wake katika kile wanachoamini...

Mmiliki wa kiwanda cha pombe haramu Thika aingia mitini

Na LAWRENCE ONGARO KIWANDA cha pombe ya mvinyo cha African Spirit Distillers Ltd, mjini Thika, Ijumaa kilifungwa uchunguzi dhidi yake...

Mbunge ateua baraza la mawaziri kumsaidia kazini

Na MARY WAMBUI MBUNGE wa Thika Mjini Patrick Wainaina amezindua baraza la mawaziri wanane, ambalo litamsaidia kutimiza ahadi alizotoa...