Trump aashiria kutong’atuka akishindwa uchaguzini ujao

Na MASHIRIKA RAIS Donald Trump wa Amerika amedokeza kwamba hana mpango wa kung’atuka mamlakani baada ya uchaguzi wa urais unaotarajiwa...

Mwanawe Trump apatikana na corona

AFP na FAUSTINE NGILA Mpenziwe mwanawe Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa na virusi vya corona, vimeripoti vyombo vya...

Trump aonya Iran dhidi ya kuua waandamanaji

NA AFP RAIS wa Donald Trump wa Marekani ameionya Iran dhidi ya kuwaua waandamanaji wanaolaani kuangushwa kimakosa kwa ndege ya Ukraine...

Amerika yapitisha kura kumng’oa Trump mamlakani

NA AFP WASHINGTON, Amerika BUNGE la Congress nchini Amerika Jumatano lilipitisha kura ya kumwondoa mamlakani Rais Donald Trump kwa...

Trump kupatanisha Misri, Ethiopia kuhusu mto Nile

NA AFP MAWAZIRI kutoka Misri, Ethiopia na Sudan jana walikutana jijini Washington DC kujaribu kutatua mzozo kuhusu ujenzi wa bwawa ndani...

Trump ampiga kalamu mshauri wa masuala ya usalama

CHARLES WASONGA na AFP RAIS wa Amerika Donald Trump amemfuta kazi mshauri wake kuhusu masuala ya Usalama wa Kitaifa John Bolton. Rais...

Ruto anavyomuiga Trump kukabili mahasidi Twitter

Na JEREMIAH KIPLANG’AT NAIBU Rais William Ruto ameonekana kukumbatia mtandao wa Twitter katika siku za hivi karibuni kila anapotaka...

Hamna jingine bali kunichagua mimi, Trump ajipiga kifua

Na MASHIRIKA na MARY WANGARI mwnyambura@ke.nationmedia.com RAIS Donald Trump amegonga vichwa vya vyombo vya habari baada ya...

Wito wa kumng’oa Trump wapata nguvu bungeni Amerika

NA MASHIRIKA WITO kutaka Rais Donald Trump abanduliwe mamlakani umezidi kupata umaarufu bungeni, baada ya wanachama zaidi wa Democrats...

Hatuhitaji marubani tena – Trump

Na WAANDISHI WETU RAIS  wa Amerika Donald Trump, ametilia shaka uwezo wa marubani kuendesha ndege za kisasa. Akizungumza siku mbili...

Trump ataka teknolojia ya 6G hata kabla ya kuonja 5G

MASHIRIKA Na PETER MBURU WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Amerika Donald Trump anawataka wakali wa teknolojia sasa kutengeneza mfumo wa...

UBABE: Hatari ya vita baina ya Amerika na Uchina yanukia 2019

NA FAUSTINE NGILA KATIKA taarifa za kimataifa za miaka ya hivi karibuni, vita vya kiuchumi baina ya Amerika na Uchina zimetawala kwenye...