Walimu 200,000 wapewa mafunzo ya kutekeleza CBC

NA JOSEPH OPENDA WALIMU 200,000 wamepatiwa mafunzo kuhusu mtaala wa elimu wa Umilisi na Utendaji (CBC) katika maandalizi ya masomo ya...

TSC kupandisha zaidi ya walimu 2,400 vyeo

Na FAITH NYAMAI TUME ya Huduma za Walimu Nchini (TSC), inapanga kuandaa mahojiano wiki hii ili kuwapandisha vyeo walimu 2,419 katika...

TSC yatuza shule, walimu waliofana zaidi masomoni

Na FAITH NYAMAI WALIMU wakuu na walimu ambao wanafunzi wao walifanya vyema katika mitihani ya kitaifa ya shule za upili na msingi mwaka...

BENSON MATHEKA: TSC iwe na uwazi na usawa katika mpango wa mafunzo

Na BENSON MATHEKA Mafunzo ambayo Tume ya Huduma ya Walimu (TSC) imeagiza walimu kuanza ili kukuza taaluma yao yamegubikwa na usiri na...

Walimu Nairobi kula marupurupu ya juu ya nyumba

Na FAITH NYAMAI WALIMU wanaofundisha katika shule zinazopatikana jijini Nairobi sasa wana kila sababu ya kutabasamu, baada ya Tume ya...

TSC yaadhibu walimu wanaotoza karo zaidi

Na FAITH NYAMAI WIZARA ya Elimu imewasilisha kwa Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC) majina ya walimu wakuu wanaotoza wazazi karo zaidi ili...

Walimu wakosa chanjo ya corona kituoni

Na ALEX NJERU MAMIA ya walimu katika Kaunti ya Tharaka Nithi waliorauka kupewa chanjo ya Covid-19 kabla ya muda wa makataa kukamilika...

TSC yashtakiwa kukata ada walimu wasio vyamani

Na FAITH NYAMAI WALIMU wawili wamewasilisha kesi kortini wakitaka Wizara ya Leba izuiwe kuidhinisha hatua ya Tume ya Huduma za Walimu...

TSC yafungua roho kwa Knut baada ya Sossion kuondoka

Na DAVID MUCHUNGU SIKU mbili baada ya Wilson Sossion kujiuzulu kama Katibu Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut), Tume ya Huduma...

Walimu hatarini kukosa nyongeza ya mishahara

Na FAITH NYAMAI WALIMU kote nchini huenda wakakosa nyongeza ya kila mwaka ya mishahara yao pamoja na kupandishwa kwa baadhi ya vyeo...

Sh17B zahitajika kuajiri walimu

Na FAITH NYAMAI TUME ya Huduma ya Walimu (TSC), imefichua kwamba, inahitaji Sh17 bilioni kuajiri walimu zaidi ya 12,000 ili kukabiliana...

Walimu walalamikia mwongozo mpya wa kuwapandisha vyeo

Na FAITH NYAMAI WALIMU wa shule za msingi kote nchini sasa wametoa wito kwa Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) isitumie mwongozo mpya ya...