Walimu watahudumu miaka 10 kabla ya kuajiriwa – TSC

NA KITAVI MUTUA WALIMU wanaopewa kazi ya kandarasi na Tume ya TSC sasa watatumika kwa miaka 10 kabla ya kuajiriwa kikamilifu. Hii ni...

Uteuzi wa Macharia TSC wapingwa kortini

Na BRIAN WASUNA TUME ya Huduma kwa Walimu (TSC) imeongeza kipindi cha kuhudumu cha katibu wake Nancy Macharia kwa miaka mitano, hatua...

TSC yawaonya walimu wake wanaojihusisha na vitendo vya kusaidia watahiniwa kudanganya

Na WINNIE ATIENO TUME ya Kuajiri Walimu (TSC) imewaonya walimu wakuu wa shule za sekondari na wasimamizi pamoja na waangalizi wa...

Korti yatoa agizo TSC iendelee kushirikiana na Knut

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Leba, iliamuru Ijumaa kwamba Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) inafaa iendelee kushirikiana na Chama cha...

ODONGO: TSC imekubali kutumika kuvuruga demokrasia Kenya

NA CECIL ODONGO NI jambo la kusikitisha kuona uhusiano kati ya Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC) na vyama vya kutetea maslahi ya walimu...

SEKTA YA ELIMU: Undumakuwili huu wa TSC utakuja kuiponza yenyewe

Na CHARLES WASONGA MPANGO wa Tume ya Huduma ya Walimu (TSC) kufutilia mbali uhusiano wake na Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut) ambao...

ONYANGO: TSC kuwaajiri walimu vibarua si suluhu tosha

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya Tume ya TSC ya kuwaajiri walimu 10,300 wa kibarua inafaa, ila si suluhisho la uhaba wa walimu...

Atwoli akasirishwa na hatua ya TSC kukata mishahara ya walimu

Na MARY WANGARI KATIBU Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi Nchini (COTU) Bw Francis Atwoli amekasirishwa na hatua ya Tume ya...

Lazima TSC itekeleze amri ya mahakama – KNUT

Na VITALIS KIMUTAI WALIMU kupitia muungano wa KNUT wameitisha mkutano na Tume ya Kuwaajiri (TSC) Jumatatu ili kujadili sulala la...

TSC kuchunguza vifo vya wanafunzi

Na WAANDISHI WETU TUME ya Kuwaajiri Walimu (TSC) imetoa tahadhari kufuatia ongezeko la vifo na kutoweka kwa wanafunzi katika hali...

TSC kuwaajiri walimu 1,045

Na WANDERI KAMAU TUME ya Kuwaajiri Walimu (TSC) imetangaza nafasi 1,050 mpya za walimu zilizoachwa wazi na walimu waliostaafu. Nafasi...

TSC kuwaajiri walimu 5,000 wa shule za upili

Na WANDERI KAMAU TUME ya Kuwaajiri Walimu (TSC) itawaajiri walimu 5,000 zaidi wa shule za upili mwezi huu, ili kusaidia kushughulikia...