TUSIJE TUKASAHAU: Wavuvi walioathirika na ujenzi wa Lapsset walipwe fidia bila masharti yoyote

MNAMO Mei 1, 2018 Mahakama Kuu iliamuru serikali ilipe Sh1.76 bilioni kama fidia kwa wavuvi 4,600 katika kaunti ya Lamu walioathirika na...

TUSIJE TUKASAHAU: Dkt Alfred Mutua asije akasahau aliahidi kuzikabarati sanamu

MNAMO Juni 26, 2019 Gavana wa Machakos Alfred Mutua aliahidi kukarabati na kutunza sanamu za mashujaa wa ukombozi wa taifa hili Tom Mboya...

TUSIJE TUKASAHAU: Ripoti ya jopokazi la kulainisha sekta ya bodaboda ingali inalala

JANA Jumatano, Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i, alitangaza kuwa wahudumu wa bodaboda watasajiliwa upya katika vituo 52 vya...

TUSIJE TUKASAHAU: Polisi hawajatimiza ahadi ya kutoa taarifa ya miili iliyotupwa katika mto Yala

MNAMO Januari 19, 2022 Msemaji wa Polisi Bruno Shioso aliahidi kutoa taarifa ya kina kuhusu uchunguzi wa tukio ambapo watu walioaminika...

TUSIJE TUKASAHAU: Martha Koome asije akasahau George Odunga na majaji wenzake watano bado hawajaapishwa

JAJI Mkuu Martha Koome Ijumaa alisema kuwa Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) itahakikisha kuwa maamuzi ya majaji na mahakimu yanaheshimiwa...

TUSIJE TUKASAHAU: Yatani asije akasahau kuwa wakazi wa Marsabit na maeneo mengine ya Kaskazini Mashariki, bado wanakeketwa na njaa

MAELFU ya wananchi bado wanaathirika kwa njaa katika Kaunti ya Marsabit kutokana na hali ya ukame inayoshuhudiwa katika eneo hilo...

TUSIJE TUKASAHAU: Serikali imezembea kufanikisha utekelezaji wa Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ya 2007

WATAALAMU wa afya wanakubaliana kwamba uvutaji sigara unasababisha madhara ya kiafya hususan ugonjwa wa kansa ya mapafu. Nchini Kenya...

TUSIJE TUKASAHAU: Miradi ya unyunyiziaji maji imekwama

NA CHARLES WASONGA MNAMO 2015 serikali ya Jubilee ilizindua miradi kadha ya kilimo cha unyunyiziaji katika maeneo kame ya North Rift...

TUSIJE TUKASAHAU: Ripoti yasema kaunti zote 47 zinadaiwa jumla ya Sh105 bilioni

RIPOTI ya hivi punde iliyotayarishwa na afisi ya Msimamizi wa Bajeti (CoB), Dkt Margaret Nyakang’o, inasema kuwa kaunti zote 47 zinadaiwa...

TUSIJE TUKASAHAU

SERIKALI kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Ujasirimali imekuwa ikiendeleza sera ya “Nunua Kenya, Jenga Kenya” ili kufanikisha...