WANDERI KAMAU: Tubuni makavazi ya uanahabari kukuza historia, mila zetu

Na WANDERI KAMAU SEKTA ya uanahabari nchini ni miongoni mwa nguzo kuu ambazo zimechangia pakubwa katika uhifadhi wa historia ya...

TANZIA: Hillary Ng’weno afariki, aacha historia ya kutamaniwa na wanahabari

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine taaluma ya uanahabari imepata pigo kufuatia kifo cha mwanahabari mwingine mkongwe. Hillary...

‘Wanahabari 400 wamepoteza ajira sababu ya corona’

Na Justus Ochieng WANAHABARI zaidi ya 400 wamefutwa kazi tangu janga la corona lilipoingia nchini.Kwa mujibu wa Shirikisho la Wahariri...

CMIL-Kenya yatoa mafunzo ya kuboresha uanahabari nchini

NA FAUSTINE NGILA Kituo cha Unahabari na Elimu ya Mawasiliano nchini (CMIL-Kenya) kimeshirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (CA)...

Jukwaa jipya kusaidia wanahabari kuanika maovu katika jamii

NA FAUSTINE NGILA MRADI mpya umezinduliwa jijini Nairobi kukuza vipawa vya wanahabari, wasanii na wanaharakati kwa lengo la kuinua...

Gazeti la Taifa Leo lachupa hadi nafasi ya 3 kwa usomaji

NA MWANDISHI WETU GAZETI la Taifa Leo limeibuka kuwa mojawapo wa magazeti matatu yanayosomwa na watu wengi zaidi nchini, huku likiyapiku...

Spika Muturi aagiza wanahabari wapewe viti bungeni

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi Alhamisi amewaamuru wenyekiti na makarani wa kamati za bunge wahakikishe kuwa...

Wanahabari wa kike wahimizwa kutia bidii, inalipa

Na CHARLES WASONGA WANAHABARI wa kike wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kupandishwa vyeo badala ya kusubiri kupewe vyeo...

NGILA: Tovuti za habari feki ni tisho kwa taaluma ya uanahabari

Na FAUSTINE NGILA YAMKINI kila mtu anayetegemea mitandao ya kijamii kupata habari za matukio ya kila siku amekumbana na vichwa vya...

Hatimaye Uhuru akiri magazeti si ya ‘kufungia nyama’

Na LEONARD ONYANGO KWA mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta ametambua mchango wa vyombo vya habari na mashirika ya kijamii katika vita...

MCK kuanzisha msako dhidi ya wanahabari bandia

Na COLLINS OMULO BARAZA la kusimamia sekta ya Uandishi wa Habari (MCK) limeelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa watu wanaojifanya kuwa...

DHULUMA KWA WANAHABARI: Muthoki Mumo alivyoteswa na polisi wa Tanzania

Na PETER MBURU IMEBAINIKA kuwa polisi wa Tanzania walimtesa aliyekuwa mwanahabari wa Nation Media Group (NMG), Muthoki Mumo, wakati...